GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Macho yangu ya Kiyahudi ambayo huwa yananipa hadi Hisia za Mtu kamwe hayajawahi Kukosea. Kaumia atahama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mtu akoshindwa Huwa anakuwa na furaha au? Wacha ujinga.Nilijua nimeona peke angu. Mbowe hakuwa na furaha kabisa
Hawezi kuhama keshakuwa liabilityMacho yangu ya Kiyahudi ambayo huwa yananipa hadi Hisia za Mtu kamwe hayajawahi Kukosea. Kaumia atahama.
alikuwa kwenye wakati mgumu, hata angefanya manuever abaki ingekuwa msala zaidi. Ahame tu, ahamie kule alikolambishwa asaliMacho yangu ya Kiyahudi ambayo huwa yananipa hadi Hisia za Mtu kamwe hayajawahi Kukosea. Kaumia atahama.
akagombee ubungeSio rahisi namna hiyo kaumia lakini kuhama sidhani..
Ila mbele ya pesa inawezekana,lakini ahame ili akawe nani Tena!
I'm a King of a Critical Observation and Analysis Mkuu. Sijawahi kukosea na Naogopwa na Watu wengi kwa huu Uwezo.Nilijua nimeona peke angu. Mbowe hakuwa na furaha kabisa