Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

nimetafakari sana Mgirik imagine mume wake alienda chuvini jamani kala manii ya mwanaume mwenzie uwiii

kiukweli wanawake nyinyi mnatufanya tuwe playboy kwa jinsi huyu mama alivyoelezea hapa nakosa iman hata kwa mke wangu kiukweli aakili yangu mpaka sasa inanitaka niishi kisanii zaidi kwa wanawake.

Ni bora kutooa maana unaweza ukawa unamheshimu mkeo lakn anakuja kukufanyia haya. Ama kweli bora tuishie kugegeda tu lakn mambo ya ndoa hakunaa
 
Last edited by a moderator:
ila wapo wake waaminifu kama wako
 
wewe unavyokumbuka, nani kati yao ulisikia msisimko wa hali ya juu regardless ya time mliyochukua kupeana vyenu?
 

Mungu humuumba kila mtu na group yake, kamwe haifuati kwa baba wala kwa mama.
 

Uko sahihi wanawake tunajimix kwenye mzunguko
 
Ushauri wangu kama hujamwambia mmeo it's better ufanye abortion naona madhara makubwa mbeleni kama itakuja kugundulika ndivyo sivyo
 
mimba ya mtoto wa kiume hiyo.mumeo mbovu hajakupa mimba
 
ma.l.aya sana haujitambui wewe.
utakufa kabla ya umri wako....maaaaaa...maaaeeeeee
 
Kitanda hakizai haramu bora miguu afanane na huyo mchepuko wako sura afanane na hyo hubby wako huyo ni mungu tu kutengeza hivyo tubu utatengenezewa hivyo
 
Bila kusahau kuwa mpaka bidada anavua nguo,..kwa cku wanaume wawili n kutokana na ushawishi wa haohao wanaume.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…