..hivi wanawake siku hizI tumekuaje........
Sema wewe dear.. Thanks..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..hivi wanawake siku hizI tumekuaje........
Hivi hizi ip iddress mtu hawezi itrack na kujua mtoa post ni nani? Be careful
mimi sitaki kutafsiringachoka miss chagga mtafsirie
nimetafakari sana Mgirik imagine mume wake alienda chuvini jamani kala manii ya mwanaume mwenzie uwiiiDah!!
miss chagga point yangu ni hapo tu. Huwa napatwa na hasira ghafla nikiwaona watu wa namna hii
kukojolewaKukonyolewa ndio kufanywaje?
its pain aiseeDah kibaya zaidi anaanza na x wake halafu mr anampelekea makombo. _nina zake.
nimetafakari sana Mgirik imagine mume wake alienda chuvini jamani kala manii ya mwanaume mwenzie uwiii
ila wapo wake waaminifu kama wakokiukweli wanawake nyinyi mnatufanya tuwe playboy kwa jinsi huyu mama alivyoelezea hapa nakosa iman hata kwa mke wangu kiukweli aakili yangu mpaka sasa inanitaka niishi kisanii zaidi kwa wanawake.
Ni bora kutooa maana unaweza ukawa unamheshimu mkeo lakn anakuja kukufanyia haya. Ama kweli bora tuishie kugegeda tu lakn mambo ya ndoa hakunaa
Ndugu yetu, tazama majibu na matusi uliyopewa. Ninaamini kuwa hakuna kosa lisilosameheka, lakini kweli waweza fanya kosa la namna hii na ukaja ukalianika kwenye mtandao? Uaminifu ni hazina, lakini ukishindwa kuwa mwaminifu angalau tumia busara. Yaani hata kumlinda kidogo huyo mr. wako haujaona umuhimu? Katika karne hii mbona hakuna haja ya kwenda nje, tena peku, na kusema ati "tumetoka naye mbali".
Usikubali kuonekana mwanamume anakudai bwana, kwani thamani yako ni kubwa kuliko huto tuvitu alivyokudanganyia navyo. Ulikuwa peke yako, sasa wewe umekua, tena hata una mme, basi uwe na swaga la mtu mwenye mume bwana. Utamlipa hadi lini? mara ngapi?
Pili, ukikosea, pata ushauri kwa faragha, namna hii umedhalilisha wanawake wote. (Hata mimi nimejisikia kuchefukwa na kudhalilika). Tatu, pole sana, utapata mtoto ambaye daima atakukumbusha matendo yako, na hata siku akiumwa ikatakiwa damu, baba akipimwa ili amtolee mtoto, au mambo mengine ya kiafya, sijui utafanyaje. Akiambiwa kwa majibu haya ya damu haiwezekani wewe uwe baba yake, je ndio utakwenda kwa huyo mwizi wako? Utamwambiaje mtoto? kweli ya ngoswe mwachieni ngoswe!
Jibu langu kama daktari: kwa hayo uliyoandika huwezi kuwa na uhakika mtoto ni wa nani. Unaweza kufanya paternity test mtoto akizaliwa. Au, iwapo daktari akijua blood group yako, ya mtoto, ya Mr, na ya yule ndugu, kuna uwezekano wa kutambua kuwa mtoto ni wa nani, iwapo group zao zitakuwa hazifanani.
Unajua kabisa siku ya 14 afu unatoa pekupeku? Shauri yako
Sijasoma post zingine, naomba kuuliza mzunguko wako ni regular au irregular. Je, kwa kawaida unatumia siku ngapi kwenye mzunguko wako. Kama ni regular unatumia siku ngapi kwa circle. Na kama ni irregular, mzunguko mrefu unachukua siku ngapi na mfupi unachukua siku ngapi?
Nauliza hayo maana watu wengi wanafikiri kila mwanamke ovulation yake ni siku ya 14.