Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

Kiukweli haiwezekani, zaidi ya kuhisi tu! Ila usijaribu kabisa kumfanyia mr. Wako hivi, ni tusi kubwa sama na Mungu atakuadhibu!

Sijui kwa nini nimelamba limao baada ya kujua mdada amefanya hivyo..tena mke wa mtu.
 

*********
mkuu ukwel hubaki mweupe longolongo hubaki nyeusi daima...mtoto ni wa jamaa na tena ni dume litazaliwa....
just asiache kuni pm mwez wa nane kunipa mrejesho.
.....matunzo mema ya kijacho ambae atakuwa kumbukumbu ya fadhila kwa watenda mema kwa wenzio..
wema wa nje mara nyingi hiwa na thaman kuliko wa ndani hata kama ni wa siku moja au muda mfupi..
 
Mom hata wangekua wanajua huyu mumewe Ana stimulate baada ya siku nne au tano sasa atajuaje mkewe ametumika me hata nimeshindwa la kumshauri avune alichopanda tu

Ana uthubutu..pole yake mume mtu.
 
Mtu anaposoma hadi mpaka kufikia degree jamii inatambua kuwa ni msomi na anaweza kuwa suruhisho kwa ambao hawajosoma.

Lakn hyo ni tofauti hawa wanawake wasomi ndio sehem ya tatzo japo sio wote lakn malaya kupindukia. Ni bora ukaoe kahaba yawezekana anajiuza kwa shida na ukimpa mtaji anaweza asiendelee na tabia yake.

Ndio maana mm niliapa kutooa mwanamke aliyemaliza chuo chochote kile. Maana hamna la maana.

Sasa kama hili limesoma lakn bado zero. Kwanza halijui hata mzunguko wake, pili ni limalaya halina hata akili, tatu halijui kwann linafanya ngono. Kama lina kaz, lina mume , lina uwezo wa kupata pesa bila kuhongwa lakn bado linagawa uchi. Hii aibu
 
Wewe demu ni mala.ya tu kwani haiwezekani ugawe mzigo kama
peremende wanazotafuna watoto , na pia ulicheza mechi mbili
siku moja katika viwanja viwili tofauti na timu mbili tofauti.
Wewe unajiuza ila kisasa zaidi.
 

umenena vyema.
 
Ngoja tuongee na ndugu yetu ajue kabisa unavyokipeperusha hapa mjini....

Wake zetu ni balaa / Laana
 
Weee noooma, unawachanganya kama Ronaldo? Ukiachwa eti wanaume wanaume, kumbe chanzo ni wewe. sasa hapo umejitafutia shid ya bure. Na usipo tubu zambi hiyo itakutesa maana tabia ni kama ngozi.
 
Mimba ni ya RAFIKI yako. Sasa kwanini uliingia kwenye ndoa ukijua kuna tatizo? Ni vizuri kuepusha mambo mapema.


Very true hiyo mimba ni ya Rafiki na sio Mr,ila unamburuza sana Mr na Nje Kapu hizooo
 
huko kwingine uwe unatumia condom
mimba inawezachomoka ukimwi je?
Pole kama huna uhakika kaitoe tu yasije kuwa makubwa sorry kwa huu ushauri

Mhh. Kosa juu ya kosa!!!
 
Afadhali sijaoa....kama mke mwenyewe ndo hivi duuh......kuna umuhimu sana wanaume waliooa kumiliki bunduki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…