missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,361
Kiukweli haiwezekani, zaidi ya kuhisi tu! Ila usijaribu kabisa kumfanyia mr. Wako hivi, ni tusi kubwa sama na Mungu atakuadhibu!
Sijui kwa nini nimelamba limao baada ya kujua mdada amefanya hivyo..tena mke wa mtu.