Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

Hahahaha hapo kwenye....analo kwa kweli
 
tena kama ni ndg yangu ntamtia ukilema. Maana kwa kipigo atakacho pata sina iman kama atakuwa salama. Mwanamke kaa huyu ni aibu hata kuitwa ndg ni bora kutokuwa na ndg kuliko huyu mwanamke.

Naomba umsamehe..teh teh.
 
haahahaha! Naona unajitetea hapa jambo la msingi ni kukaa mbali na ma x.
 
Na hapa utakuta watukanaji na washangaaji nao wametoka kutiana na michepuko yao
ila huyu ndo anaonekana mkosaji

Umeona eeh huyu dada kaonekana kana kwamba anadhambi kubwa sana kuliko mtu yeyote yule watu wamejawa mapovu ile mbaya ili hali wao watia mchepuko siku hiyo hiyo na mke siku hiyo hiyo na wote wanapata mimba.
 
mkuu alama uliyoiweka mwenyewe haiwezi kukushinda kuigundua.. Itakuwa ngumu mlangoni ila kule ndani utakutana na Mto msimbazi

nikisoma post zako nacheka sana. Naona hujakutana na wanawake wazoefu ipo siku ukijua utashika mikono kichwan
 
Na hapa utakuta watukanaji na washangaaji nao wametoka kutiana na michepuko yao
ila huyu ndo anaonekana mkosaji

Na hao wanaomuita malaya wao ndo wanaongoza kutembea na wake za wenzao. Eti kaleta najisi ndani ya nyumba sababu tu ni mwanamke. nyie mliooa mbona mna watoto kibao nje ya ndoa zenu. Dada lea mimba yako mwaya tena kwa amani. watoto ni shida kuwapata siku hizi.
 
Reactions: nao
haahahaha! Naona unajitetea hapa jambo la msingi ni kukaa mbali na ma x.

Hahahaha acha tuu mgiriki hawa wanawake twende nao kiakili sio neno atalo kwambia uliamini.imeniumaa mpaka basi bora angekuwa hajaolewa
 
Last edited by a moderator:

sijui ni nn unachomtetea. Lakn hauwezi jua huenda ni coy moja
 
Hahahaha acha tuu mgiriki hawa wanawake twende nao kiakili sio neno atalo kwambia uliamini.imeniumaa mpaka basi bora angekuwa hajaolewa

mkuu ni shida mbaya zaid wanawake hawa hawajilewi. Utakuta mwanamke amesoma, ana kazi anamaisha mazur na ana mume lakn anagawa kama hana akili nzuri. Ndio maana vijana wa sasa hvi wamesoma alama za nyakat wanagonga na kusepa.
 
Last edited by a moderator:
mkuu ni shida mbaya zaid wanawake hawa hawajilewi. Utakuta mwanamke amesoma, ana kazi anamaisha mazur na ana mume lakn anagawa kama hana akili nzuri. Ndio maana vijana wa sasa hvi wamesoma alama za nyakat wanagonga na kusepa.

Hahahaha wasomi ndio wakuwaogopa sana manaake wanajiamini kwamba wao pia wanaweza kama mwanaumee kumbe wanasahau mwanaume atabaki kuwa kichwa cha familia.nikumuomba mungu atusaidie mda wa kuoa ulikifika tupate wale walio sahihi
 
mimi nimepata kinyaa nisamehe ...... umekonyolewa na wanaume wawili kwa siku moja possibility kubwa ni ya rafiki yako na si ya mr

Dah kibaya zaidi anaanza na x wake halafu mr anampelekea makombo. _nina zake.
 
Du, dada unatisha. Mchana kwa mchepuko na usiku kwa Mr. Mbaya zaidi unakwenda pekupeku huku ukijua jamaa naye ana mke nyumbani. Anyway, Mimba ni yako na ujiepushe na mawazo ya kutoa mimba hiyo. Kubali tu kuwajibika kwa ulichokifanya.
 
Anajua kuwa kuna siri humu ndani lakini kumbe anajidanganya, na mhusika kama ni mtu wa mitandao lazima ajue tuu, hata kama syo leo...
 
Hahahaha wasomi ndio wakuwaogopa sana manaake wanajiamini kwamba wao pia wanaweza kama mwanaumee kumbe wanasahau mwanaume atabaki kuwa kichwa cha familia.nikumuomba mungu atusaidie mda wa kuoa ulikifika tupate wale walio sahihi
umesahau historia inakufuatilia kama wewe sio mwaminifu tegemea mabaya yatakukuta tu. Jehanamu ipo hapa hapa na malipo ni hapa duniani. unagonga na kuondoka na mke wako wa wanao watafanyiwa hivyo maradafu. Bora kuishi maisha yaliyonyooka utapata rehema za Mungu na atakuepusha na hayo yote
 
Multiple relationships= multiple confusions. Yani una mtihani ndugu yangu mwee

Mambo haya mlioko nje nadhani mpaka yanawaogopesha kuingia ndani, sie tulishaga yakubali tu kama sehemu ya maisha as kuchapiwa ni siri ya ndani, teh teh teh!!

Ila mwenyewe kaishatoa angalizo:Nahitaji ushauri kuhusu hilo eneo la mimba, hayo mengine mwachieni ngoswe.
 
Aah my kaka si unanijua mdogo ako nilivyo na roho ngumu. Hakuna maisha yasiyo na changamoto, Inshallah tutafika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…