T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
hongera, Mimba ni ya Rafiki jion!
Facts, naamini hujaoana na huyo bwana karibuni(i mean kukutana) na huo sio mzunguko wa kwanza kukutana na hubby, it means ulikuwa unakutana nae mara nyingi na hukubahatika kupata ujauzito, na rafiki hukuwah kumpa kipindi ukiwa danger zone, now alipata hiyo fursa na kafanya yake.
Hata angekuwa ni rafiki usiku na hubby jion still ingekuwa ni ya rafiki tuu.
tafuta njia na kuficha aibu, huna namna
Na kama kuna deviation kubwa ya rangi na sura kati yao unalo kwa mawifi na wakwe.
HONGERA kwa kupata ujauzito, wenzio wanaufuata hadi ulaya kwa pesa nyingi na hawapati.
Hahahaha hapo kwenye....analo kwa kweli