Umeona eeh huyu dada kaonekana kana kwamba anadhambi kubwa sana kuliko mtu yeyote yule watu wamejawa mapovu ile mbaya ili hali wao watia mchepuko siku hiyo hiyo na mke siku hiyo hiyo na wote wanapata mimba.
hebu wacha ujinga wako basi..... hapa hatulaumu kuchepuka kwake ila tunalaumu kumbambikizia mmewe mimba/mtoto asie wake kwa maksudi...
km alitaka kuchepuka si angetumia kinga tu?? yann kulala na x wakat unajua upo siku hatar??
ivi ww unajua uchungu wa kulea mtoto asie wako?? mke hapo hana cha kupoteza, ila mme anapoteza kuanzia siku ya kwanza unamwambia una mimba mpk mtoto anaoa/kuolewa atalelewa na baba fake, can you imagine???
inakera sana mwanamke kushangilia ujinga km huu..... ngoja nile ndimu tu pyuuuuuu