Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

Umeona eeh huyu dada kaonekana kana kwamba anadhambi kubwa sana kuliko mtu yeyote yule watu wamejawa mapovu ile mbaya ili hali wao watia mchepuko siku hiyo hiyo na mke siku hiyo hiyo na wote wanapata mimba.

hebu wacha ujinga wako basi..... hapa hatulaumu kuchepuka kwake ila tunalaumu kumbambikizia mmewe mimba/mtoto asie wake kwa maksudi...

km alitaka kuchepuka si angetumia kinga tu?? yann kulala na x wakat unajua upo siku hatar??

ivi ww unajua uchungu wa kulea mtoto asie wako?? mke hapo hana cha kupoteza, ila mme anapoteza kuanzia siku ya kwanza unamwambia una mimba mpk mtoto anaoa/kuolewa atalelewa na baba fake, can you imagine???

inakera sana mwanamke kushangilia ujinga km huu..... ngoja nile ndimu tu pyuuuuuu
 
Kaa nao chini wote wawili uwahoji na uwaeleze ni lazima mwenye mimba ajiweke wazi la sivyo unatumbua jipu!! Ukiwa serious na ukaonyesha sura ya mbuzi atajitokeza tu!!

Hahahaaaa! Daah nimeipenda hii.
 
Inaweza ikawa ya mumeo au ya mchepuko.
 
Inaweza ikawa ya mumeo au ya mchepuko.

hiyo ni ya mchepuko tu mana mchepuko ndo alieanza kulala nae....

pili kibiolojia x wako huwa na nguvu hivyo anarelease virutubisho kwa uharaka.... ipo complicated kidogo lakn ktk hali hii hata angeanza mme then x ingekua ya x tu
 
hebu wacha ujinga wako basi..... hapa hatulaumu kuchepuka kwake ila tunalaumu kumbambikizia mmewe mimba/mtoto asie wake kwa maksudi...

km alitaka kuchepuka si angetumia kinga tu?? yann kulala na x wakat unajua upo siku hatar??

ivi ww unajua uchungu wa kulea mtoto asie wako?? mke hapo hana cha kupoteza, ila mme anapoteza kuanzia siku ya kwanza unamwambia una mimba mpk mtoto anaoa/kuolewa atalelewa na baba fake, can you imagine???

inakera sana mwanamke kushangilia ujinga km huu..... ngoja nile ndimu tu pyuuuuuu

mkuu wala usishangae hao wanaomsapoti huyo mwanamke ndio kundi lake chupi mkonon wakiambiwa kugegedwa tu tayar wamelowa.
 
hiyo ni ya mchepuko tu mana mchepuko ndo alieanza kulala nae....

pili kibiolojia x wako huwa na nguvu hivyo anarelease virutubisho kwa uharaka.... ipo complicated kidogo lakn ktk hali hii hata angeanza mme then x ingekua ya x tu

Ma-ex nao wamezidi utamu sana bwana, kama ex darling wangu Eli79 naona kabisaaa dalili za mkasa kama huu kunikumba.
 
Last edited by a moderator:
Huyu Dada ni malaya tu asiye na hofu ya mungu. Hilo tatizo la mume wake ni kisingizio tu na kwa kuwa nafsi yake inamtuma kuhamini hivyo basi hata mume wake apige tano atatoa kisingizio kingine tu na pili amwandalii Mme wake ipasavyo. Mchafu mkubwa wee
 
Subiri mpaka ujifungue, then utaona motto anafanana ma nano! Huyo ndiyo baba wa mototo wako.
 
mkuu wala usishangae hao wanaomsapoti huyo mwanamke ndio kundi lake chupi mkonon wakiambiwa kugegedwa tu tayar wamelowa.

km kuchepuka wacha wachepuke ila hili la kumletea mtu mtoto asie wake alee as if ni wake,, huu ni UVUNJAJI WA HAKI ZA WANAUME!!

wanawake wa aina hii hata sijui wapewe adhabu gani
 
Huyu Dada ni malaya tu asiye na hofu ya mungu. Hilo tatizo la mume wake ni kisingizio tu na kwa kuwa nafsi yake inamtuma kuhamini hivyo basi hata mume wake apige tano atatoa kisingizio kingine tu na pili amwandalii Mme wake ipasavyo. Mchafu mkubwa wee

mkuu sio malaya bali ni KAHABA NA CHANGUDOA ALIEKUBUHU KATIKA USHWETANI HUO!!.....

unamsakizia mmeo mimba? kwel hakuna maana ya kuoa!!
 
Me nakukatakata vipisi cpend wasaliti tena it seems bado hujui maisha yalivyo mdada mara x wang mara hubby ndo nin sasa naona ulikuripikia ndoa,kwa stor yako wewe ni shenz type kabisaaaa
 
eti hubby huoni hata aibu..mzigo unadinywa nje huko still unaandika una hubby? tabu ya kuanza ngono utotoni ndio hiyo....hio mimba ya huyo mchepuko wako na siku mmeo akijua utaaibika milele yote ndoa hakuna tena hapo na usirudie kabisa kusema umeolewa..shame
 
Na hao wanaomuita malaya wao ndo wanaongoza kutembea na wake za wenzao. Eti kaleta najisi ndani ya nyumba sababu tu ni mwanamke. nyie mliooa mbona mna watoto kibao nje ya ndoa zenu. Dada lea mimba yako mwaya tena kwa amani. watoto ni shida kuwapata siku hizi.
Watoe uthenge hapa
 
Umeona eeh huyu dada kaonekana kana kwamba anadhambi kubwa sana kuliko mtu yeyote yule watu wamejawa mapovu ile mbaya ili hali wao watia mchepuko siku hiyo hiyo na mke siku hiyo hiyo na wote wanapata mimba.
Hapa chupi zinateleza tu wapo kwa michepuko ila hapa kujitia kina sister Maria na kina pastor john
pambafff zao mxyuuuu na dole la kati nimewanyooshea
 
  • Thanks
Reactions: nao
kutiana nje ya ndoa ni kosa kubwa lakn kosa kubwa zaidi ambalo sawa na mauaji ni kitendo cha kubeba mimba ya mwanaume mwingne nje ya ndoa wakat umeolewa..

Umeolewa kwaajli gani? Kama umefikia hatua ya kumletea mmeo familia ya nje?

Siku zote mwanamke ndio mlinzi wa mimba yake itokee ama isitokee mwanamke ndio anaamua.

Sasa huyu kilaza hajui hata mzunguko wake. Je atajua kuitunza ndoa yake? Dah! Oophhh

Hiyo mimba kajibebesha?
mme wa mtu mke wa mtu bao la mkono hili ajali kazini, akaitoe next time atiane na condom
michepuko kila mtu anayo tusijitie unafiki hapa
 
Back
Top Bottom