Since 2005, Kenya has spent a cumulative $8.8 billion (Sh884billion) on military hardware

Lazima wakae...Ngoja tununue Su-30...na T-72 tanks na s-300 ndo watatuelewa...
 
Lazima wakae...Ngoja tununue Su-30...na T-72 tanks na s-300 ndo watatuelewa...
Su-30 hii hapa
Nauhakika majirani sasa hivi wanatetemeka ile mbaya.


T-72 Tank
 
Lazima wakae...Ngoja tununue Su-30...na T-72 tanks na s-300 ndo watatuelewa...
Halafu hii hapa helicopter M-7. Unajua sisi tunachukua series yote. Kwahiyo TZ itakuwa noma zaidi. Mziki wetu utaanza kuwa nje ya Africa kama Diamond Platnumz.
 
Kwa hela za MADAFU???
Miaka hii Kenya lazima mtajiharishia sana. Ghalama yenu kuuubwa. Sisi ni nchi za kijamaa tunauziana siraha kirafiki.
Nyie endeleeni kununua huko Marekani kwa gharama za juu sana. Sisi tunatumia za China na Russia
Umeeona lakini Series za M-7 helicopters.
Nyie tulieni tu, Hii ndio TZ bana
 
Su-35 Hahaha juzi tu waziri wetu kaenda kuongea na Russia na kwamba tunanunua Fight Jets
Icheki hapa.
 
Su-35 Hahaha juzi tu waziri wetu kaenda kuongea na Russia na kwamba tunanunua Fight Jets
Icheki hapa.
View attachment 418938
I hope you understand English, cause this post is specifically about you.

Ive read some outright silly and dumb stuff around here, posted by both sides, but I'm yet to find someone who has zero basis or facts backing his argument.

Man, its painful to read your posts. They are so baseless and fictional. Try upping your game...and Don't bring a knife to a gun fight.


Oh once again, i really hope you understand English.
 

Propaganda hizo, lete ushahidi hapa wa askari kutoka Tz aliyeshitakiwa kwa kubaka watoto. Hizo habari za kidaku wala huwa hatushughuliki nazo.
 
Mimi nafikiri kenya muanze ku recruit wanawake ili washike jeshi na nyinyi wanaume mrudi kulea watoto majumbani maana wanaume wa kenya mmelegea mno kama mlenda na ndiomana hamuishi kuchapwa daily na wake zenu bana.
 

Wewe acha maneno mengi, nyinyi hampo vitani na wala hamjawahi kupigana vita ndiomana waoga kama kunguru. Ulishaona isis wanapokuwa kwenye mapambano? Alshabab wakiamua kuwaingilia kwa mtindo huo, wote mtahamaπŸ˜€
 

Hebu msikilize vizuri huyo mwanaume kwenye hii clip pengine unaweza kujifunza kitu, japo sindano inauma lkn ndio tiba, kama unafikiri vita ni kuwa na madege mengi pamoja na budget kuubwa basi mtasubili sana aisee.
 

Attachments

Hamuwezi, nyie vita ya mdomoni na kwenye keyboard mnaweza sana lkn sio kunako field.
 

Hivi wewe, ujasili wa kupigana unafikili ni kama mnye. o kila mtu anao? Yani mmeshindwa kuwakimbiza hao wahuni ndio mnafikilia kuja kupambana na Tz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…