56 KDF soldiers killed in Somalia honoured at fete
Tanzania iko za zero experience kwa vita vya ugaidi. hadi ile siku mtaenda kupigana 'Holy war' mfunge midomo yenu tafadhali... Eti unajicompare na wale washamba wa M23, hivyo ni vita aina tofauti bana...
vita vya M23 ambao walikua wanataka uongozi tu... vilichukua mwaka mmoja miezi saba...wanajeshi waliongoza kutoka nje ni wa south africa (1,400), wakafwatwa na tz1(1,200) na wa DRC wenyewe aambao ndo walikua wako kwa frontline..... M23 ilikua inatoshana mtu 6,000.... baada ya mwaka mmoja miezi saba, m23 takriban mia nane walikua wamekufa....hao wengine waka surrender na kutupa silaha..
KDF inapigana vita vya kigaidi...hapa hakuna cha ku surrender, wanaeka mitego ya IED barabarani, wengine wanajifunga mabomu na kukufwata mbio wakati mnashika doria mitaani somalia, mtu ako radhi ajitoe mhanga.....
Kenya iliingia somalia October 2011, baada ya mwaka moja october 2012, kenya peke yake (Bila kuchanganya Uganda, burundi,Ethiopia ) ilikua imemaliza alshabaab 3,000
Kenyan Forces Outperforming US Forces in War Against Islamists
Lakini alshabaab hawakuangusha silaha, infact, kadri unavyo waua ndo wengine wanazidi kuongezeka, wanazidi kujitoa mhanga kulipiza kisasi....
I recommed, tafuta series flani mpya inaitwa 'Taking Fire', wanajeshi wa marekani kutimia kamera ambazo walikua wanazifunga kichwani walikua wanapiga vedio wakipigana na magaidi afhganistan, karibu kila time walikua wakipiganan nao, mmarekani alikua anapoteza mmoja au wawili, kuna wakati walitegeshewa bomu moja kubwa hata hutaamini, wamarekani na nguvu zao zote walichukua miaka zaidi ya kumi kupambana na magaidi, sahii inasemekana kuna magaidi wengi zaidi kuliko wakati wowote mwengine wa ki historia..... Alafu wewe unakuja turingia na wale washamba wa M23 ambao hata hawakuenda shule... Alshabaab uwauwe hadi ubakishe wawili, hao wawili bado watakufwata ukizubaa na wakumalize