Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Nitumie migebukaKaribu hapa Tanganyika pembeni ya Ziwa Tanganyika tule Bata wakati tukiisubiria gemu ya Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitumie migebukaKaribu hapa Tanganyika pembeni ya Ziwa Tanganyika tule Bata wakati tukiisubiria gemu ya Yanga
Nyie ndo mlidharauliwa na Manzoki nyoka nyoka...anasema bora akacheze kijijini kwao ila sio kucheza timu kama yenu 😀 😀 😀Ila kumleta mwangalizi wa kimataifa kusimamia uchaguzi wenu (Manzoki) ilikuwa dharau sana Kwa wanasimba na ilicement kabisa kauli ya Rage "mashabiki wa Simba wengi ni mbumbumbu"
Wakati ule kikosi kilikuwa hakijapata makali wewe.Sasa kimeshanoleka ni moto.Ingekuwa fighting spirit ya wachezaji wa Yanga ni bora sana wasingetolewa na Al Hilal iliyokuwa ya kuungaunga ,wachezaji wapya na benchi la ufundi jipya
Kujitutumua baada ya kufeli huwa ni sehemu ya maisha ndiyo maana waliofeli darasani huenda kupambana wafaulu nje ya darasa na wanaweza kuwa juu zaidi huko kuliko huku walikofeli mwanzo.Na mwaka ujao wafike nusu fainali kama wana fighting spirit unayoipigia chapuo
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Unaboa ujue1. Ili wana Simba SC tunaodanganywa kila mara mpaka kutuletea Mchezaji Mhamasishaji, Majeruhiwa, Mwanasiasa ( hasa za Michezo ), Mpiga Kura, Msanii na kufanywa Wapumbavu tuumbuke.
2. Ili Uongozi mbovu na wa Upigaji mwingi ubadilike au uachie ngazi.
3. Itufanye Mashabiki wa Simba SC kuachana na Ushamba wa Kutambia kila mara kufika Robo Fainali ya CAFCL.
4. Imfanye Mwekezaji Mo Dewji ajawe na Hasira na Msimu ujao atusajiie Majembe.
5. Iwafanye Wachezaji wa Simba SC nao waige Fighting Spirit ya Wachezaji wa Yanga ili nao Msimu ujao wafanye vyema zaidi yao.
6. Itasaidia kuinua Soka la Tanzania kwa Vilabu vingi Kusajili vyema, kuongeza Ushindani na Kukaribisha Wafadhili wengine hivyo Kuinogesha Ligi Kuu.
7. Kutazidi kuitangaza zaidi Tanzania hasa Kimataifa, Kuitangaza Ligi Kuu yetu na kuipa Mailage Kubwa Benki ya NBC hivyo Kuwashawishi kwa Msimu ujao Waongeze Dau la Udhamini na Ligi Kuu yetu Inoge na iendelee Kuibua Vipaji vingi ndani na nje ya Tanzania.
GENTAMYCINE nikiwa kama Mwanamichezo na Mdau mkubwa wa Michezo na Mshindi wa Shindano la Kwanza la Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa mwaka Jana ( 2022 ) kwa Moyo Mkunjufu kabisa na hata bila ya chembe ya Unafiki naitakia Kila la Kheri Yanga SC katika Mechi yao ya marudiano na Marumo Gallants FC Keshokutwa ( Jumatano ) tarehe 17 Mei, 2023 ili Watinge Fainali ya CAFCC na Wabebe kabisa na Kombe lenyewe katika Mechi ya Fainali na Inshaallah Mwenyezi Mungu atalifanikisha hili.
Kwa kuonyesha kuwa hili nimelidhamiria na namaanisha nahitaji mwana Yanga SC yoyote mwenye Jezi ya Kijani ya Yanga SC ainunue kisha akampe Mtani wangu na Kaka JamiiForums Founder Maxence Melo na Yeye atajua kwa kunipata na Kunikabidhi hiyo Jezi ya Mabingwa wapya wa CAFCC ili niivae / niitinge hiyo Keshokutwa Jumatano.
Mwisho nitaomba kwa wale JamiiForums Members wana Yanga SC jikusanyeni nyote kisha niambieni hii Mechi mtaiangalizia wapi ili nijumuike nanyi kwani sasa ni rasmi hata kama wana Simba SC tutaumia na Kununa ( kuwa na Usununu ) kwamba hili Jambo la Yanga SC ni la Kitaifa na Kinchi kabisa.
Kila la Kheri Yanga SC na mkashinde.
Kupitia njia Gani mkuu!?Nitumie migebuka
Saas hapa umeandika nini?, Au unarudia maneno ya ndugu popoma ze giant 😅👈Ingekuwa fighting spirit ya wachezaji wa Yanga ni bora sana wasingetolewa na Al Hilal iliyokuwa ya kuungaunga ,wachezaji wapya na benchi la ufundi jipya
Kujitutumua baada ya kufeli huwa ni sehemu ya maisha ndiyo maana waliofeli darasani huenda kupambana wafaulu nje ya darasa na wanaweza kuwa juu zaidi huko kuliko huku walikofeli mwanzo.Na mwaka ujao wafike nusu fainali kama wana fighting spirit unayoipigia chapuo
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Natania mkuu..thanx thoughKupitia njia Gani mkuu!?
Aisee kumbe ukimeza vidonge vyako mapema unakuwa bonge la mtu...1. Ili wana Simba SC tunaodanganywa kila mara mpaka kutuletea Mchezaji Mhamasishaji, Majeruhiwa, Mwanasiasa ( hasa za Michezo ), Mpiga Kura, Msanii na kufanywa Wapumbavu tuumbuke.
2. Ili Uongozi mbovu na wa Upigaji mwingi ubadilike au uachie ngazi.
3. Itufanye Mashabiki wa Simba SC kuachana na Ushamba wa Kutambia kila mara kufika Robo Fainali ya CAFCL.
4. Imfanye Mwekezaji Mo Dewji ajawe na Hasira na Msimu ujao atusajiie Majembe.
5. Iwafanye Wachezaji wa Simba SC nao waige Fighting Spirit ya Wachezaji wa Yanga ili nao Msimu ujao wafanye vyema zaidi yao.
6. Itasaidia kuinua Soka la Tanzania kwa Vilabu vingi Kusajili vyema, kuongeza Ushindani na Kukaribisha Wafadhili wengine hivyo Kuinogesha Ligi Kuu.
7. Kutazidi kuitangaza zaidi Tanzania hasa Kimataifa, Kuitangaza Ligi Kuu yetu na kuipa Mailage Kubwa Benki ya NBC hivyo Kuwashawishi kwa Msimu ujao Waongeze Dau la Udhamini na Ligi Kuu yetu Inoge na iendelee Kuibua Vipaji vingi ndani na nje ya Tanzania.
GENTAMYCINE nikiwa kama Mwanamichezo na Mdau mkubwa wa Michezo na Mshindi wa Shindano la Kwanza la Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa mwaka Jana ( 2022 ) kwa Moyo Mkunjufu kabisa na hata bila ya chembe ya Unafiki naitakia Kila la Kheri Yanga SC katika Mechi yao ya marudiano na Marumo Gallants FC Keshokutwa ( Jumatano ) tarehe 17 Mei, 2023 ili Watinge Fainali ya CAFCC na Wabebe kabisa na Kombe lenyewe katika Mechi ya Fainali na Inshaallah Mwenyezi Mungu atalifanikisha hili.
Kwa kuonyesha kuwa hili nimelidhamiria na namaanisha nahitaji mwana Yanga SC yoyote mwenye Jezi ya Kijani ya Yanga SC ainunue kisha akampe Mtani wangu na Kaka JamiiForums Founder Maxence Melo na Yeye atajua kwa kunipata na Kunikabidhi hiyo Jezi ya Mabingwa wapya wa CAFCC ili niivae / niitinge hiyo Keshokutwa Jumatano.
Mwisho nitaomba kwa wale JamiiForums Members wana Yanga SC jikusanyeni nyote kisha niambieni hii Mechi mtaiangalizia wapi ili nijumuike nanyi kwani sasa ni rasmi hata kama wana Simba SC tutaumia na Kununa ( kuwa na Usununu ) kwamba hili Jambo la Yanga SC ni la Kitaifa na Kinchi kabisa.
Kila la Kheri Yanga SC na mkashinde.
Kipindi Yanga inafungwa na Al hilal ilikuwa bado combination haija settle, achilia mbali Al hilal, Yanga ilifungwa mpaka na Vipers kipindi kile inatengeneza combination, ila kwa sasa hao niliowataja wanaweza japo kutoa suluhu? Unajua kwnn unasema Al hilal ilikuwa mbovu? Kwasababu Yanga iliupiga mwingi sana mechi zote home and away sema chemistry ya team ilikuwa bado haijaanza kufanya kazi.Ingekuwa fighting spirit ya wachezaji wa Yanga ni bora sana wasingetolewa na Al Hilal iliyokuwa ya kuungaunga ,wachezaji wapya na benchi la ufundi jipya
Kujitutumua baada ya kufeli huwa ni sehemu ya maisha ndiyo maana waliofeli darasani huenda kupambana wafaulu nje ya darasa na wanaweza kuwa juu zaidi huko kuliko huku walikofeli mwanzo.Na mwaka ujao wafike nusu fainali kama wana fighting spirit unayoipigia chapuo
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha Usununu Pimbi Wewe.
👏👏👏 Safi sana, hata mimi naomba hapo utakapoenda kuangalia mpira niwepo na nitakunulia kisungura🤣🤣1. Ili wana Simba SC tunaodanganywa kila mara mpaka kutuletea Mchezaji Mhamasishaji, Majeruhiwa, Mwanasiasa ( hasa za Michezo ), Mpiga Kura, Msanii na kufanywa Wapumbavu tuumbuke.
2. Ili Uongozi mbovu na wa Upigaji mwingi ubadilike au uachie ngazi.
3. Itufanye Mashabiki wa Simba SC kuachana na Ushamba wa Kutambia kila mara kufika Robo Fainali ya CAFCL.
4. Imfanye Mwekezaji Mo Dewji ajawe na Hasira na Msimu ujao atusajiie Majembe.
5. Iwafanye Wachezaji wa Simba SC nao waige Fighting Spirit ya Wachezaji wa Yanga ili nao Msimu ujao wafanye vyema zaidi yao.
6. Itasaidia kuinua Soka la Tanzania kwa Vilabu vingi Kusajili vyema, kuongeza Ushindani na Kukaribisha Wafadhili wengine hivyo Kuinogesha Ligi Kuu.
7. Kutazidi kuitangaza zaidi Tanzania hasa Kimataifa, Kuitangaza Ligi Kuu yetu na kuipa Mailage Kubwa Benki ya NBC hivyo Kuwashawishi kwa Msimu ujao Waongeze Dau la Udhamini na Ligi Kuu yetu Inoge na iendelee Kuibua Vipaji vingi ndani na nje ya Tanzania.
GENTAMYCINE nikiwa kama Mwanamichezo na Mdau mkubwa wa Michezo na Mshindi wa Shindano la Kwanza la Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa mwaka Jana ( 2022 ) kwa Moyo Mkunjufu kabisa na hata bila ya chembe ya Unafiki naitakia Kila la Kheri Yanga SC katika Mechi yao ya marudiano na Marumo Gallants FC Keshokutwa ( Jumatano ) tarehe 17 Mei, 2023 ili Watinge Fainali ya CAFCC na Wabebe kabisa na Kombe lenyewe katika Mechi ya Fainali na Inshaallah Mwenyezi Mungu atalifanikisha hili.
Kwa kuonyesha kuwa hili nimelidhamiria na namaanisha nahitaji mwana Yanga SC yoyote mwenye Jezi ya Kijani ya Yanga SC ainunue kisha akampe Mtani wangu na Kaka JamiiForums Founder Maxence Melo na Yeye atajua kwa kunipata na Kunikabidhi hiyo Jezi ya Mabingwa wapya wa CAFCC ili niivae / niitinge hiyo Keshokutwa Jumatano.
Mwisho nitaomba kwa wale JamiiForums Members wana Yanga SC jikusanyeni nyote kisha niambieni hii Mechi mtaiangalizia wapi ili nijumuike nanyi kwani sasa ni rasmi hata kama wana Simba SC tutaumia na Kununa ( kuwa na Usununu ) kwamba hili Jambo la Yanga SC ni la Kitaifa na Kinchi kabisa.
Kila la Kheri Yanga SC na mkashinde.
Huu sasa ni uchawiIngekuwa fighting spirit ya wachezaji wa Yanga ni bora sana wasingetolewa na Al Hilal iliyokuwa ya kuungaunga ,wachezaji wapya na benchi la ufundi jipya
Kujitutumua baada ya kufeli huwa ni sehemu ya maisha ndiyo maana waliofeli darasani huenda kupambana wafaulu nje ya darasa na wanaweza kuwa juu zaidi huko kuliko huku walikofeli mwanzo.Na mwaka ujao wafike nusu fainali kama wana fighting spirit unayoipigia chapuo
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Agiza Bia Bingwa na Balimi pamoja na mboga nitalipia1. Ili wana Simba SC tunaodanganywa kila mara mpaka kutuletea Mchezaji Mhamasishaji, Majeruhiwa, Mwanasiasa ( hasa za Michezo ), Mpiga Kura, Msanii na kufanywa Wapumbavu tuumbuke.
2. Ili Uongozi mbovu na wa Upigaji mwingi ubadilike au uachie ngazi.
3. Itufanye Mashabiki wa Simba SC kuachana na Ushamba wa Kutambia kila mara kufika Robo Fainali ya CAFCL.
4. Imfanye Mwekezaji Mo Dewji ajawe na Hasira na Msimu ujao atusajiie Majembe.
5. Iwafanye Wachezaji wa Simba SC nao waige Fighting Spirit ya Wachezaji wa Yanga ili nao Msimu ujao wafanye vyema zaidi yao.
6. Itasaidia kuinua Soka la Tanzania kwa Vilabu vingi Kusajili vyema, kuongeza Ushindani na Kukaribisha Wafadhili wengine hivyo Kuinogesha Ligi Kuu.
7. Kutazidi kuitangaza zaidi Tanzania hasa Kimataifa, Kuitangaza Ligi Kuu yetu na kuipa Mailage Kubwa Benki ya NBC hivyo Kuwashawishi kwa Msimu ujao Waongeze Dau la Udhamini na Ligi Kuu yetu Inoge na iendelee Kuibua Vipaji vingi ndani na nje ya Tanzania.
GENTAMYCINE nikiwa kama Mwanamichezo na Mdau mkubwa wa Michezo na Mshindi wa Shindano la Kwanza la Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa mwaka Jana ( 2022 ) kwa Moyo Mkunjufu kabisa na hata bila ya chembe ya Unafiki naitakia Kila la Kheri Yanga SC katika Mechi yao ya marudiano na Marumo Gallants FC Keshokutwa ( Jumatano ) tarehe 17 Mei, 2023 ili Watinge Fainali ya CAFCC na Wabebe kabisa na Kombe lenyewe katika Mechi ya Fainali na Inshaallah Mwenyezi Mungu atalifanikisha hili.
Kwa kuonyesha kuwa hili nimelidhamiria na namaanisha nahitaji mwana Yanga SC yoyote mwenye Jezi ya Kijani ya Yanga SC ainunue kisha akampe Mtani wangu na Kaka JamiiForums Founder Maxence Melo na Yeye atajua kwa kunipata na Kunikabidhi hiyo Jezi ya Mabingwa wapya wa CAFCC ili niivae / niitinge hiyo Keshokutwa Jumatano.
Mwisho nitaomba kwa wale JamiiForums Members wana Yanga SC jikusanyeni nyote kisha niambieni hii Mechi mtaiangalizia wapi ili nijumuike nanyi kwani sasa ni rasmi hata kama wana Simba SC tutaumia na Kununa ( kuwa na Usununu ) kwamba hili Jambo la Yanga SC ni la Kitaifa na Kinchi kabisa.
Kila la Kheri Yanga SC na mkashinde.
Simba mwakani, naimani mtakuja kivingine na huenda mkafanya pia bora sana na zaidi.. Endeleeni kuwaungeni mkono Yanga tu kwa kipindi hikiMkuu unakiswahili kigumu ..anzeni kumjengea
Upo ndugu yangu?.Simba mwakani, naimani mtakuja kivingine na huenda mkafanya pia bora sana na zaidi.. Endeleeni kuwaungeni mkono Yanga tu kwa kipindi hiki
Nipo ndugu yangu. Natumai upo njema na waendelea na mapambanoUpo ndugu yangu?.
Wewe kiazi na wewe mchambuzi? Kudadek, nawashauri TFF waanze kupiga marufuku watu kujiitaita hovyo wachambuzi.Pumbavu kuna GENTAMYCINE wa aina mbili....
1. Mpenda Utani wa Simba na Yanga
2. Mwanamichezo na Mchambuzi wa Soka.
Hatimae akili zimekurejeleaa sas1. Ili wana Simba SC tunaodanganywa kila mara mpaka kutuletea Mchezaji Mhamasishaji, Majeruhiwa, Mwanasiasa ( hasa za Michezo ), Mpiga Kura, Msanii na kufanywa Wapumbavu tuumbuke.