Sincerely kwanini nataka Yanga SC ifike Fainali ya CAFCC na Ibebe kabisa na Ubingwa?

1. Ili wana Simba SC tunaodanganywa kila mara mpaka kutuletea Mchezaji Mhamasishaji, Majeruhiwa, Mwanasiasa ( hasa za Michezo ), Mpiga Kura, Msanii na kufanywa Wapumbavu tuumbuke.

2. Ili Uongozi mbovu na wa Upigaji mwingi ubadilike au uachie ngazi.

3. Itufanye Mashabiki wa Simba SC kuachana na Ushamba wa Kutambia kila mara kufika Robo Fainali ya CAFCL.

4. Imfanye Mwekezaji Mo Dewji ajawe na Hasira na Msimu ujao atusajiie Majembe.

5. Iwafanye Wachezaji wa Simba SC nao waige Fighting Spirit ya Wachezaji wa Yanga ili nao Msimu ujao wafanye vyema zaidi yao.

6. Itasaidia kuinua Soka la Tanzania kwa Vilabu vingi Kusajili vyema, kuongeza Ushindani na Kukaribisha Wafadhili wengine hivyo Kuinogesha Ligi Kuu.

7. Kutazidi kuitangaza zaidi Tanzania hasa Kimataifa, Kuitangaza Ligi Kuu yetu na kuipa Mailage Kubwa Benki ya NBC hivyo Kuwashawishi kwa Msimu ujao Waongeze Dau la Udhamini na Ligi Kuu yetu Inoge na iendelee Kuibua Vipaji vingi ndani na nje ya Tanzania.

GENTAMYCINE nikiwa kama Mwanamichezo na Mdau mkubwa wa Michezo na Mshindi wa Shindano la Kwanza la Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa mwaka Jana ( 2022 ) kwa Moyo Mkunjufu kabisa na hata bila ya chembe ya Unafiki naitakia Kila la Kheri Yanga SC katika Mechi yao ya marudiano na Marumo Gallants FC Keshokutwa ( Jumatano ) tarehe 17 Mei, 2023 ili Watinge Fainali ya CAFCC na Wabebe kabisa na Kombe lenyewe katika Mechi ya Fainali na Inshaallah Mwenyezi Mungu atalifanikisha hili.

Kwa kuonyesha kuwa hili nimelidhamiria na namaanisha nahitaji mwana Yanga SC yoyote mwenye Jezi ya Kijani ya Yanga SC ainunue kisha akampe Mtani wangu na Kaka JamiiForums Founder Maxence Melo na Yeye atajua kwa kunipata na Kunikabidhi hiyo Jezi ya Mabingwa wapya wa CAFCC ili niivae / niitinge hiyo Keshokutwa Jumatano.

Mwisho nitaomba kwa wale JamiiForums Members wana Yanga SC jikusanyeni nyote kisha niambieni hii Mechi mtaiangalizia wapi ili nijumuike nanyi kwani sasa ni rasmi hata kama wana Simba SC tutaumia na Kununa ( kuwa na Usununu ) kwamba hili Jambo la Yanga SC ni la Kitaifa na Kinchi kabisa.

Kila la Kheri Yanga SC na mkashinde.
Huwa nakupinga sana kwa hoja zako ila leo umeandika jambo la msingi sana,big up mkuu
 
Big up my friend
 
Wewe sasa ndiyo GENTAMYCINE The King. 👑
 
Leteni ule uzi anaoonyesha kuwa maruno waga wanapigwa ugenini na kule SA waga wanapiga....
Leteni ule uzi wa mwanzo kabisa anao sema yeye ni mwanachama wa maruno.
Infact sitakusahau umenisababishia Ban wewe
 
gongo wazi wanakila sababu kuchukua ubingwa wa CAFCC
pia wakikaza vizuri michuano ya club bingwa ijayo wanaweza kumpita simba kwa kuvuka ngazi ya nusu fainali
 
GENTAMYCINE Point no. 4 ndipo ulipokosea. Mchawi wa Simba ni Mo na janjajanja nyingi, ila wanasimba wapo kama wamelala usingizi mzito mno! Mo anajua. Simba ikiwa na Mut mwingine atapoteza sana. Hebu tazama ahadi za Mo kiumakini na appointments zake! Maslahi yake yapo mbele... ni wakati wanasimba tumkabili na ukweli! Hatuna cha kupoteza ila maumivu ya kila mwaka yakuishia Robo Fainali.
 
Ingekuwa fighting spirit ya wachezaji wa Yanga ni bora sana wasingetolewa na Al Hilal iliyokuwa ya kuungaunga ,wachezaji wapya na benchi la ufundi jipya

Kujitutumua baada ya kufeli huwa ni sehemu ya maisha ndiyo maana waliofeli darasani huenda kupambana wafaulu nje ya darasa na wanaweza kuwa juu zaidi huko kuliko huku walikofeli mwanzo.Na mwaka ujao wafike nusu fainali kama wana fighting spirit unayoipigia chapuo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kijiba cha roho.
 
Atskuelewa
Msimu uliopita Simba ilitolewa kwa "Aibu" kabisa pale uwanja wa Taifa na timu dhaifu ya Janweng Galaxy. Kumbuka mechi ya awali Simba alishinda Goli mbili bila Kule Kwa makirikhiri lakini akaja kupasuka tatu moja nyumbani.

Lakini Simba aliangukia kwenye kombe la shirikisho Napo mambo yakawa magumu Sana. So kuna muda inabidi ukubali tu Sisi tulikubali tumezidiwa mbinu na hao Al hilal kumbuka tangu Kombe limeanzishwa mwaka 2004 Yanga haijawahi kuvuka group stage ya shirikisho imekua ikimaliza wa mwisho. Je ni uongo kua Yanga haina fighting spirit this season?

Kumbuka tu ngao ya jamii Simba ndo ilianza kufunga lakini Yanga alisawazisha na kushinda... Hiyo ndo fighting spirit sasa
Atakuelewa sasa
 
1. Ili wana Simba SC tunaodanganywa kila mara mpaka kutuletea Mchezaji Mhamasishaji, Majeruhiwa, Mwanasiasa ( hasa za Michezo ), Mpiga Kura, Msanii na kufanywa Wapumbavu tuumbuke.

2. Ili Uongozi mbovu na wa Upigaji mwingi ubadilike au uachie ngazi.

3. Itufanye Mashabiki wa Simba SC kuachana na Ushamba wa Kutambia kila mara kufika Robo Fainali ya CAFCL.

4. Imfanye Mwekezaji Mo Dewji ajawe na Hasira na Msimu ujao atusajiie Majembe.

5. Iwafanye Wachezaji wa Simba SC nao waige Fighting Spirit ya Wachezaji wa Yanga ili nao Msimu ujao wafanye vyema zaidi yao.

6. Itasaidia kuinua Soka la Tanzania kwa Vilabu vingi Kusajili vyema, kuongeza Ushindani na Kukaribisha Wafadhili wengine hivyo Kuinogesha Ligi Kuu.

7. Kutazidi kuitangaza zaidi Tanzania hasa Kimataifa, Kuitangaza Ligi Kuu yetu na kuipa Mailage Kubwa Benki ya NBC hivyo Kuwashawishi kwa Msimu ujao Waongeze Dau la Udhamini na Ligi Kuu yetu Inoge na iendelee Kuibua Vipaji vingi ndani na nje ya Tanzania.

GENTAMYCINE nikiwa kama Mwanamichezo na Mdau mkubwa wa Michezo na Mshindi wa Shindano la Kwanza la Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa mwaka Jana ( 2022 ) kwa Moyo Mkunjufu kabisa na hata bila ya chembe ya Unafiki naitakia Kila la Kheri Yanga SC katika Mechi yao ya marudiano na Marumo Gallants FC Keshokutwa ( Jumatano ) tarehe 17 Mei, 2023 ili Watinge Fainali ya CAFCC na Wabebe kabisa na Kombe lenyewe katika Mechi ya Fainali na Inshaallah Mwenyezi Mungu atalifanikisha hili.

Kwa kuonyesha kuwa hili nimelidhamiria na namaanisha nahitaji mwana Yanga SC yoyote mwenye Jezi ya Kijani ya Yanga SC ainunue kisha akampe Mtani wangu na Kaka JamiiForums Founder Maxence Melo na Yeye atajua kwa kunipata na Kunikabidhi hiyo Jezi ya Mabingwa wapya wa CAFCC ili niivae / niitinge hiyo Keshokutwa Jumatano.

Mwisho nitaomba kwa wale JamiiForums Members wana Yanga SC jikusanyeni nyote kisha niambieni hii Mechi mtaiangalizia wapi ili nijumuike nanyi kwani sasa ni rasmi hata kama wana Simba SC tutaumia na Kununa ( kuwa na Usununu ) kwamba hili Jambo la Yanga SC ni la Kitaifa na Kinchi kabisa.

Kila la Kheri Yanga SC na mkashinde.
Nimecheka sana Mwana karibu kwenye kisiwa cha furaha ili kupunguza adhari ya kushambuliwa na maradhi ya moyo
 
Ingekuwa umetutakia kila la kheli bila hayo manamba uliyoyaandika ningekuelewa..!! We unataka utumie ubingwa wa Yanga kwa manufaa ya makolo..!!
Ubingwa wetu mtuachie..!! Wakati tunatinga nusu fainali, nyie si mliona mchukue kombe la robo fainali..!!
 
Back
Top Bottom