Sincerely kwanini nataka Yanga SC ifike Fainali ya CAFCC na Ibebe kabisa na Ubingwa?

Ila kumleta mwangalizi wa kimataifa kusimamia uchaguzi wenu (Manzoki) ilikuwa dharau sana Kwa wanasimba na ilicement kabisa kauli ya Rage "mashabiki wa Simba wengi ni mbumbumbu"
Nyie ndo mlidharauliwa na Manzoki nyoka nyoka...anasema bora akacheze kijijini kwao ila sio kucheza timu kama yenu 😀 😀 😀
 
Wakati ule kikosi kilikuwa hakijapata makali wewe.Sasa kimeshanoleka ni moto.
 
Unaboa ujue
 
Saas hapa umeandika nini?, Au unarudia maneno ya ndugu popoma ze giant 😅👈
 
Aisee kumbe ukimeza vidonge vyako mapema unakuwa bonge la mtu...
 
Kipindi Yanga inafungwa na Al hilal ilikuwa bado combination haija settle, achilia mbali Al hilal, Yanga ilifungwa mpaka na Vipers kipindi kile inatengeneza combination, ila kwa sasa hao niliowataja wanaweza japo kutoa suluhu? Unajua kwnn unasema Al hilal ilikuwa mbovu? Kwasababu Yanga iliupiga mwingi sana mechi zote home and away sema chemistry ya team ilikuwa bado haijaanza kufanya kazi.
 
👏👏👏 Safi sana, hata mimi naomba hapo utakapoenda kuangalia mpira niwepo na nitakunulia kisungura🤣🤣
 
Huu sasa ni uchawi
 
Agiza Bia Bingwa na Balimi pamoja na mboga nitalipia
 
Pumbavu kuna GENTAMYCINE wa aina mbili....

1. Mpenda Utani wa Simba na Yanga

2. Mwanamichezo na Mchambuzi wa Soka.
Wewe kiazi na wewe mchambuzi? Kudadek, nawashauri TFF waanze kupiga marufuku watu kujiitaita hovyo wachambuzi.

Mtu akijua double pivot, high line, 4-4-2 diamond, mid block, nae kashakuwa mchambuzi. Ikiwezekana, watoe leseni kabisa maana vichaa kama hawa ndio wanasababisha taaluma yetu inadharaulika.

Kenge buluu.
 
Hatimae akili zimekurejeleaa sas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…