Sincerely kwanini nataka Yanga SC ifike Fainali ya CAFCC na Ibebe kabisa na Ubingwa?

Huwa nakupinga sana kwa hoja zako ila leo umeandika jambo la msingi sana,big up mkuu
 
Big up my friend
 
Wewe sasa ndiyo GENTAMYCINE The King. 👑
 
Leteni ule uzi anaoonyesha kuwa maruno waga wanapigwa ugenini na kule SA waga wanapiga....
Leteni ule uzi wa mwanzo kabisa anao sema yeye ni mwanachama wa maruno.
Infact sitakusahau umenisababishia Ban wewe
 
gongo wazi wanakila sababu kuchukua ubingwa wa CAFCC
pia wakikaza vizuri michuano ya club bingwa ijayo wanaweza kumpita simba kwa kuvuka ngazi ya nusu fainali
 
GENTAMYCINE Point no. 4 ndipo ulipokosea. Mchawi wa Simba ni Mo na janjajanja nyingi, ila wanasimba wapo kama wamelala usingizi mzito mno! Mo anajua. Simba ikiwa na Mut mwingine atapoteza sana. Hebu tazama ahadi za Mo kiumakini na appointments zake! Maslahi yake yapo mbele... ni wakati wanasimba tumkabili na ukweli! Hatuna cha kupoteza ila maumivu ya kila mwaka yakuishia Robo Fainali.
 
Kijiba cha roho.
 
Atskuelewa
Atakuelewa sasa
 
Nimecheka sana Mwana karibu kwenye kisiwa cha furaha ili kupunguza adhari ya kushambuliwa na maradhi ya moyo
 
Ingekuwa umetutakia kila la kheli bila hayo manamba uliyoyaandika ningekuelewa..!! We unataka utumie ubingwa wa Yanga kwa manufaa ya makolo..!!
Ubingwa wetu mtuachie..!! Wakati tunatinga nusu fainali, nyie si mliona mchukue kombe la robo fainali..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…