GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Kitumbua chako kipoje bibie? Sukari kiasi na uchumvi ama sukari sukari?Hatufanani UTAMU
Narudia hatufanani UTAMU
Narudia hatufanani UTAMU
NB: UTAMU wa kitumbua ni sukari
Umepita bila kupingwa, kila mwanamke ana utamu wake.Hatufanani UTAMU
Narudia hatufanani UTAMU
Narudia hatufanani UTAMU
NB: UTAMU wa kitumbua ni sukari
Acha kitumbua changu, ila kuna ambavyo vinanata hivyo vitumbua, hivyo ni vitamuu...Kitumbua chako kipoje bibie? Sukari kiasi na uchumvi ama sukari sukari?
Itabidi tuendelee 'kuchovya' ili tupate vyenye kunata nata.Acha kitumbua changu, ila kuna ambavyo vinanata hivyo vitumbua, hivyo ni vitamuu...
Hujakipata Bado kitumbua mnato, pole sana...Itabidi tuendelee 'kuchovya' ili tupate vyenye kunata nata.
Dah umeboa sana. Tunamsiba
Napokea pole zako..!Hujakipata Bado kitumbua mnato, pole sana...
Ili ujue kitumbua hicho ni mnato pia ukila ni Cha moto...Napokea pole zako..!
Bila shaka chako cha moto..! Kwa umahiri wa kuelezea hivi, inatosha kuliona hiloIli ujue kitumbua hicho ni mnato pia ukila ni Cha moto...
Elimu hii ikusaidie, usiwe msindikizaji🤣
Mitano tena, au nasema uongo nduguzangu?Hatufanani UTAMU
Narudia hatufanani UTAMU
Narudia hatufanani UTAMU
NB: UTAMU wa kitumbua ni sukari
Hatufanani UTAMU
Narudia hatufanani UTAMU
Narudia hatufanani UTAMU
NB: UTAMU wa kitumbua ni sukari
Wenye vitumbua hivyo hawaachwi ila wanaacha, na waliowaacha wanajutraaa...Umenena 💯💯💯💯
Na hilo haliwezi kubadilika
💃🏽💃🏽💃🏽Tulio hivyo tunajijua na kujitambua.. Sugar is sugar kutoka kwa Mola.. Bila maongezo yoyote... Na eeeeeeh 💃🏽💃🏽💃🏽
Single boys unatutesa sana kwa hizi commentsIli ujue kitumbua hicho ni mnato pia ukila ni Cha moto...
Elimu hii ikusaidie, usiwe msindikizaji🤣
Afu wewe, huu uzi wa waliooa tu vitumbua vitamu na visivyo vitamu🤣🤣Single boys unatutesa sana kwa hizi comments
Tutakwenda tu hata utuite wu wu wuuw wuuu 😅Na wanaume hivyo hivyo mambwa nyie 🥲
Umbua ikiwa haina Sucre unapiga one bite tu 🤣Afu wewe, huu uzi wa waliooa tu vitumbua vitamu na visivyo vitamu🤣🤣