Yaani nilitaka kusema hivihivi...hosp ni rahisi kufuatilia na mtu aka detect Nini tatizo.sasa huko wameshakataa kuwa hawajamchoma.Hata hospital madhara yanaweza kutokea sikatai. Lakini wahudumu wengi wa pharmacy hawana kibali cha kuchoma watu sidhano. Wanafanya nje ya utaratibu.
Angechoma hospitali ingekuwa rahisi kufatilia.
Kama hapo mchoma sindano amemkana na hana ushahidi wowote kama ni kweli alichomwa hapo. Maumivu mara mbili...