Yaani nilitaka kusema hivihivi...hosp ni rahisi kufuatilia na mtu aka detect Nini tatizo.sasa huko wameshakataa kuwa hawajamchoma.Hata hospital madhara yanaweza kutokea sikatai. Lakini wahudumu wengi wa pharmacy hawana kibali cha kuchoma watu sidhano. Wanafanya nje ya utaratibu.
Angechoma hospitali ingekuwa rahisi kufatilia.
Kama hapo mchoma sindano amemkana na hana ushahidi wowote kama ni kweli alichomwa hapo. Maumivu mara mbili...
Hatari sanaHata hospital madhara yanaweza kutokea sikatai. Lakini wahudumu wengi wa pharmacy hawana kibali cha kuchoma watu sidhano. Wanafanya nje ya utaratibu.
Angechoma hospitali ingekuwa rahisi kufatilia.
Kama hapo mchoma sindano amemkana na hana ushahidi wowote kama ni kweli alichomwa hapo. Maumivu mara mbili...
Sijui kwa nin wengi wananganyana kwamba iv ceftriaxone ndo first Choice ya UTI....!!!?? Waphamasia wa ADDO hao dah!
Ni kwa ajili ya nini haswa hiyo sindano?Sijui kwa nin wengi wananganyana kwamba iv ceftriaxone ndo first Choice ya UTI....!!!?? Waphamasia wa ADDO hao dah!
carbamazepineNi kwa ajili ya nini haswa hiyo sindano?
Kuna kipindi mguu uliuma pasipo sababu, sikujigonga wala kuanguka.
Few days later pale kwenye shaft pakaanza kuvimba.
Nikaenda Hosp, wakapima FBP. Dr akasema white blood cells iko high, mengine mengine ya kisayansi hapo hata na nishasahau but simply ni kama mchafuko wa damu.
Nikaandikiwa hiyo sindano kwa siku 3.
Ni antibiotic yenye nguvu sana dhidi ya bacteriaNi kwa ajili ya nini haswa hiyo sindano?
Kuna kipindi mguu uliuma pasipo sababu, sikujigonga wala kuanguka.
Few days later pale kwenye shaft pakaanza kuvimba.
Nikaenda Hosp, wakapima FBP. Dr akasema white blood cells iko high, mengine mengine ya kisayansi hapo hata na nishasahau but simply ni kama mchafuko wa damu.
Nikaandikiwa hiyo sindano kwa siku 3.
So for my case, Dr alikuwa sahihi?Ni antibiotic yenye nguvu sana dhidi ya bacteria
count ya WBC ikiwa juu above normal, most of time inakua ni ishara ya kwamba mwilini kuna shida, mf. "Infection". So alikua sahihi mkuu.So for my case, Dr alikuwa sahihi?
Wengine wanadai sio sindano iliyosababisha hilo
Wenyewe wanaiita broad spectrum antibiotic(ni moja antibiotic yenye nguvu zaid)
Inatumika kutibu maambukizi ya bacteria.
Kama WBC zilikua juu inamaanisha ulikua na infection,maana WBC zikiwa juu ndo huashiria hivyo.
Wengi wanaipenda sababu ya utendaji kazi wake ni wa haraka,dose 2 wakati mwingine zinatosha kuonyesha response ya mgonjwa.
Hapa ndo panapofanya wengi wai abuse,wanaitoa tu bila kuangalia kama inahitajika kwa wakati huo
Si jibu la 2+2=4count ya WBC ikiwa juu above normal, most of time inakua ni ishara ya kwamba mwilini kuna shida, mf. "Infection". So alikua sahihi mkuu.
Pia watu waelewe kuwa si kila WBC zinapokuwa juu, jibu ni antibiotics.
Ni muhimu kujua kuwa WBC ni mjumuisho wa seli za kinga za mwili (neutrophils, lymphocytes, Eosinophils, Basophils na monocytes).
Hizi seli hupanda kulingana na chanzo cha maambukizi (bakteria, virusi, allergy/mzio, minyoo, fangus).
Hivyo, ni vyema kujua kiasi cha upandaji vs aina ya seli vs chanzo.
Pia dalili alizonazo mgonjwa.
NB: Hapa ndo wawaachie nafasi wataalamu wa afya kazi yao.