Sindano ya Testosterone

Asante
Pole mkuu
Asante mkuu
 
Tatizo haswa sijajua, maana testosterone ina husika na vingi, ika Mzee masindano sio mazuri, piga sana tizi, kula sana mbegu za maboga, tikiti maji na mbegu zake tafuna saana, piga saana supu ya samaki, vyakula vya madini ya zinc, chuma tafuna sana, lakini pia epuka mavyakula ya hovyo, epuka soda, asali awe mshikaji wako, asubuhi ukiamka gonga ndizi walau mbili, chocolate nyeusi..
Hapo utakuwa fiti. Fanya hivyo kama miezi mi3 hivi, utaona mabadiliko makubwa tena.
 
Wanajidanganya sana ila in reality 45 bado anafurahia sana tendo na nguvu zipo nyingi tu
Hiyo miaka bado sana,binafsi napeleka sana moto,ila sijawahi kunywa bia Wala soda,nakimbia sana mazoezi,nakula natural food like fish,kuku kienyeji,matunda na mboga mboga.Kifupi sili taka taka na uzito ni sio mkubwa.
 
Mazoezi magumu?huyu ana 45 anahitaji mazoezi ya kukimbia,push ups etc au unataka atengue mgongo?
 
Hiyo miaka bado sana,binafsi napeleka sana moto,ila sijawahi kunywa bia Wala soda,nakimbia sana mazoezi,nakula natural food like fish,kuku kienyeji,matunda na mboga mboga.Kifupi sili taka taka na uzito ni sio mkubwa.
Asante mkuu
 
Asante sana bro
 
Ukiwa na upungufu wa uanaume, ukipewa hizo sindano ndo unakua mwanaume sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…