- Thread starter
- #41
Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante
Asante1. mazoez magumu [ hii inastimulate production of the hormone]
2. zingatia chakula hasa kula vyakula vyenye mafuta, protein na wanga [ kwasabab testosterone ni steroid hormone]
3. kama uliwahi kupiga sana mastar sana kipind cha ujana bas hali unayopitia ni moja kati ya matunda ya tabia ya kujichua
1. mazoez magumu [ hii inastimulate production of the hormone]

Asante mkuuPole mkuu

I have said my own! Kama nawewe ni mpandisha bendera kwa mkono mmoja endelea

Maoni Yako yamekosa uthibitisho wa kisayansi.....I have said my own! Kama nawewe ni mpandisha bendera kwa mkono mmoja endelea
Hiko chanzo kilichoandika kuwa masta haina madhara ni cha kisayansi?Maoni Yako yamekosa uthibitisho wa kisayansi.....
Ndio ni chanzo cha kisayansi.....ni ukurasa wa masuala ya sayansi ya tiba na afyaHiko chanzo kilichoandika kuwa masta haina madhara ni cha kisayansi?
ResearchesNdio ni chanzo cha kisayansi.....ni ukurasa wa masuala ya sayansi ya tiba na afya
Hiyo miaka bado sana,binafsi napeleka sana moto,ila sijawahi kunywa bia Wala soda,nakimbia sana mazoezi,nakula natural food like fish,kuku kienyeji,matunda na mboga mboga.Kifupi sili taka taka na uzito ni sio mkubwa.Wanajidanganya sana ila in reality 45 bado anafurahia sana tendo na nguvu zipo nyingi tu
Mazoezi magumu?huyu ana 45 anahitaji mazoezi ya kukimbia,push ups etc au unataka atengue mgongo?1. mazoez magumu [ hii inastimulate production of the hormone]
2. zingatia chakula hasa kula vyakula vyenye mafuta, protein na wanga [ kwasabab testosterone ni steroid hormone]
3. kama uliwahi kupiga sana mastar sana kipind cha ujana bas hali unayopitia ni moja kati ya matunda ya tabia ya kujichua
1. mazoez magumu [ hii inastimulate production of the hormone]
2. zingatia chakula hasa kula vyakula vyenye mafuta, protein na wanga [ kwasabab testosterone ni steroid hormone]
3. kama uliwahi kupiga sana mastar sana kipind cha ujana bas hali unayopitia ni moja kati ya matunda ya tabia ya kujichua
Uko sawa ht mimi nilisoma hapo ndo maana sio vizuri kupokea kila kitu asante mkuu
Asante mkuuHiyo miaka bado sana,binafsi napeleka sana moto,ila sijawahi kunywa bia Wala soda,nakimbia sana mazoezi,nakula natural food like fish,kuku kienyeji,matunda na mboga mboga.Kifupi sili taka taka na uzito ni sio mkubwa.
Asante sana broTatizo haswa sijajua, maana testosterone ina husika na vingi, ika Mzee masindano sio mazuri, piga sana tizi, kula sana mbegu za maboga, tikiti maji na mbegu zake tafuna saana, piga saana supu ya samaki, vyakula vya madini ya zinc, chuma tafuna sana, lakini pia epuka mavyakula ya hovyo, epuka soda, asali awe mshikaji wako, asubuhi ukiamka gonga ndizi walau mbili, chocolate nyeusi..
Hapo utakuwa fiti. Fanya hivyo kama miezi mi3 hivi, utaona mabadiliko makubwa tena.
Ukiwa na upungufu wa uanaume, ukipewa hizo sindano ndo unakua mwanaume sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sidhani kama kuna daktari utamuuliza maelekezo au faida ya dawa bila kujua wewe una shida gani au kitu gani kinakusibu mpaka uhitaji hizo sindano za kuongeza level za testesterone mwilini.
Japokua kwa maelezo yako mafupi naamini ina uhusiano na upungufu za nguvu za kiume au "uanamme" mfano sauti, body posture na tabia etc.
Madaktari watakuja kukupa miongozo
Vitu gani hivyo nduguAcha vitu atifisial ni mbaya kwa mwili