Sinema sakata la LUGUMI: Mashine za utambuzi wa alama za vidole zaanza kufungwa kimya kimya

Sinema sakata la LUGUMI: Mashine za utambuzi wa alama za vidole zaanza kufungwa kimya kimya

balaa,kwa mtu kama mimi niliyeanza kufuatilia siasa hvi karibuni,mwili wantetema kwa jinsi ninavyosikia mambo ya ajabu yaliyotokea na yanayotokea.
 
He, hivi Lugumo kasave? Kweli kabiss? Siamini labda Magu anamlia timing! Hili sakata mh rais hakuwahi kutia neno!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ndiyo imeshatoka hiyo Mkuu, naibu spika hana mamlaka ya kuipa amri taasisi yoyote ya Serikali. Mamlaka yake ni ndani ya Bunge tu lakini kwa mara ya kwanza tunaona spika anatoa amri kwa taasisi ya Serikali. Bilioni 36 pesa nyingi sana Mkuu labda huyu naye kashikishwa bulungutu hivyo lazima tu apotezee hili sakata pamoja na kuwalinda Wastaafu kama alivyoahidi kwa gharama yoyote ile. Eti na huyu naye anatuzuga eti kajitoa kafara kupambana na mafisadi! Kweli CCM ni ile ile chama cha wahuni, wezi, wapokea rushwa, wauza unga, majangili na mafisadi.

He, hivi Lugumo kasave? Kweli kabiss? Siamini labda Magu anamlia timing! Hili sakata mh rais hakuwahi kutia neno!
 
Back
Top Bottom