Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Hivi Kitwanga haoni aibu jamani? Basi aom ahamishwe wizara haiwezekani ukawa na power za kuendesha wizara ukiwa na kashf nzito hivo JPM alisema hata ukitajwa tu inatosh kukutoa uwaziri!
Lugumi anajisafisha yeye kwa kuweka hizo machine bila mtandao,kazi ya mtandao ni ya Kitwanga! Sio kazi rahisi kuweka mtandao kila kituo ndani ya week 3 ile kazi kw TTCL ni miezi 6' Kitwanga ajipange kuangushiw jumba bovu!

Kile kikundi cha Uchakachuaji mikataba cha January Makamba kimepitia kote kinachofanyika sasa ni kumwondoa kitwanga kwenye hiyo kampuni , wamepita kote huko wamenyofoa nyaraka wakabadili majina wakaweka watu wengine kabsa Yaani utashangaa kusikia Mmiliki infosys ni mwingine kabsa , Nchi hii kuna vioja vingi sana .