Sinema sakata la LUGUMI: Mashine za utambuzi wa alama za vidole zaanza kufungwa kimya kimya

Sinema sakata la LUGUMI: Mashine za utambuzi wa alama za vidole zaanza kufungwa kimya kimya

Sasa hii serikali iangushwe kwa kuwadharau Watanzania na kuwaambia uwongo kama wapumbavu. Watanzania wamedharauliwa sana na hii serikali na ndiyo sababu inafanya inachotaka bila kujali sheria na katiba ya nchi.

TUNAOMBA KATIBA MPYA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11111


Sawa kabisa hakuna namna nyingine njia ya kutoka kwenye huu mfumo.
 
Sasa hii serikali iangushwe kwa kuwadharau Watanzania na kuwaambia uwongo kama wapumbavu. Watanzania wamedharauliwa sana na hii serikali na ndiyo sababu inafanya inachotaka bila kujali sheria na katiba ya nchi.

TUNAOMBA KATIBA MPYA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11111


Sawa kabisa hakuna namna nyingine njia ya kutoka kwenye huu mfumo.
 
Tusinge Ongea,Wasinge Fanya!

Hii nchi raha Sana.Ukiwa mwizi wa mabilion unalindwa lakini mwizi wa kuku unachomwa moto.


kwa taratibu za manunuzi na sheria za nchi wahusika walipaswa wawe wamefungwa kitambo.

mkataba una taratibu zake za kuongeza muda utekelezaji.
waeleze kwa taratibu gani za kuomba kuongezewa muda wa mkataba zilitumika na vikao vilivyo idhinisha kuongeza muda....
 
Inasikitisha na inatia simanzi sana.
Kwa haya mambo yanayofanyika ninazidi kukosa imani na sekali ya magufuli.

Kweli wakinyamazia hili suala nitaona kwamba hii serikali haina tofauti na serikali zilizopita kwa tabia ileile ya kulindana.
 
Sasa hii serikali iangushwe kwa kuwadharau Watanzania na kuwaambia uwongo kama wapumbavu. Watanzania wamedharauliwa sana na hii serikali na ndiyo sababu inafanya inachotaka bila kujali sheria na katiba ya nchi.

TUNAOMBA KATIBA MPYA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11111
Watanzania wenyewe niwepi unaowazungumzia hawa wanaomchagua MTU kwasababu kampa Kofia au Fulana.....MTU anafurahia majipu yanavyotumbuliwa lkn Sukari inamshinda kununua baada ya Bei kuwa juu
 
Sasa huo ni ujeuri wa kupindukia dhidi yetu wanyonge jamani. Mungu kwanini sisi tuonewe hivi. Oh my dear God help us
 
Kwa hiyo kila kelele zinazopigwa na UKAWA mnataka Rais azifanyie kazi? Toka lini UKAWA wakawa washauri wa Serikali?
Wewe hata uufunike uvundo na kuupulizia manukato utanuka tu harufu ya manukato ikiisha. Unajitahidi sana kukitetea chama ili angalau ukipwe fadhila za kuuambulia ukuu wa wilaya lakini nikuhakikishie nafasi hiyo hutopewa kwani huaminiki na unatetea kila hoja. Tumia mbinu ya mzee wa falsafa ya malofa na wapumbavu ya kujaza maji mdomoni ili asiongee sana huenda ukafikiriwa.
Mtu unauona ukweli na dosari, badala ya kuungana kukemea wewe unaunga mkono. Huoni hata dhana ya kutumbua majipu unaipinga japo inaoongozwa na unayemtetea? Mbona unakuwa na double faces? Kweli umeikosa fursa jiandae kuwa upande huu ili uwe katika sura yako halisi.
 
Namwomba Mungu amwezeshe Rais kuwa na ujasiri wa kuona maovu yote hasahasa makubwa ambayo yanapigiwa kelele sana. Asisite kutumbua hayo majipu makubwa.
 
Kati ya mambo ambayo bingwa yanaumiza akili yake ni sakata la LUGUMI ngoma haitumbuliki maana vifaa vya utumbuzi vimeadimika kama Sukari duuh
 
Owena Owena Ccm ni ile ile tutaisoma namba! Wanarudisha mishale ya saa kwa mikono ili isome May 2011! Yetu macho mmeshikwa pabaya! Wamekimbizana kubadili stake holders brela wa infosys ionekane Kitwanga alitoka infosys 2010......JPM kazi anayo kumnusuru manusura wake Kitwanga!
Kile kikundi cha Uchakachuaji mikataba cha January Makamba kimepitia kote kinachofanyika sasa ni kumwondoa kitwanga kwenye hiyo kampuni , wamepita kote huko wamenyofoa nyaraka wakabadili majina wakaweka watu wengine kabsa Yaani utashangaa kusikia Mmiliki infosys ni mwingine kabsa , Nchi hii kuna vioja vingi sana .
 
hii ndo tZ bana
Pesa aliyopewa Lugumi ni nyingi mara 100 ya bei ya kawaida hivyo kakimbia China chapchap kachukua mashine wanazifunga haraka haraka kisha atazuga kuwa zilifungwa zamani au wamepita kurekebisha kasoro ndogo ndogo ,
 
sema tu watu wengi hawajihusishi na usomaji wa taarifa hizi haswa wa vijijini serikali ya kijani ingekuwa chali sana haswa wakati huu.kama upinzani umeweza kuibua haya na je wakipewa serikali.hakika sukari itakuwa sh elfu moja kilo.sure! mashine za lugumi zinafungwa hayo ndo majipu ya mana acha ya mkuu wa mkoa shy.ambaye hata alikuwa mgeni na mkoa
 
Kule brela kikundi cha Uchakachuaji cha January kimepitia file zote na kumchomoa kitwanga na sasa ataonekana hayumo kwenye kampuni ya infosys hivyo kuwahadaa Watanzania kuwa hahusiki na ufisadi wa Lugumi , hii ndiyo Tanzania kila jambo linawezekana sasa.
 
Mh.rais kama ni kweli waziri wako anahusika kwenye hili,basi huu nao ni mtihani kwako
 
Halafu mtu unasimama unanza kusema tukuombee,Mungu apendi watu wanafiki na sitokaa nipoteze mda wangu kuombea mtu mnafiki.
 
Mkataba ulisainiwa mwaka 2011 leo ni 2016 je Mkataba unasemaje kuhusu ukomo wa ufungwaji wa hizo mashine
 
Back
Top Bottom