Ndiyo imeshatoka hiyo Mkuu, naibu spika hana mamlaka ya kuipa amri taasisi yoyote ya Serikali. Mamlaka yake ni ndani ya Bunge tu lakini kwa mara ya kwanza tunaona spika anatoa amri kwa taasisi ya Serikali. Bilioni 36 pesa nyingi sana Mkuu labda huyu naye kashikishwa bulungutu hivyo lazima tu apotezee hili sakata pamoja na kuwalinda Wastaafu kama alivyoahidi kwa gharama yoyote ile. Eti na huyu naye anatuzuga eti kajitoa kafara kupambana na mafisadi! Kweli CCM ni ile ile chama cha wahuni, wezi, wapokea rushwa, wauza unga, majangili na mafisadi.