Sinema: Tazama shoo za B.Morison hata kama ni Yanga

Sinema: Tazama shoo za B.Morison hata kama ni Yanga

Yanga tatizo ni huo mwiko, Sasa kabwili alikua na kosa gani wakati slogan yenu inajieleza ..
 
Hajawahi kuzifunga timu za Yanga na Azam. Ila kawahi kuwafunga Simba tu
mkuu kwan utaratibu umebadilika? anaekufunga ndo unamsajiri, kama nyinyi mlivyomsajiri duma. Sijui mmempeleka wapi siku hizi!!!
 
Penzi lake ni kwa Simba tu...si unajua uaminifu kwenye ndoa
Nilikua nadhani ni kabwili peke yake kumbe hadi mashabiki, anyway kesho mtakuja na kisingizio gani baada ya kutobolewa na mbeya kwanza ??
 
Najifunza kuwa mchezaji akiwa Simba anakuwa special zaidi kuliko Yanga..
 
Yanga wana haki iwaume!! BM original wakili msomi!! hatishiwi FIFA!! Ukimpeleka huko ni sawa na kumpeleka kambale majini!!
 
Uto akili zenu zipo matakoni, morrisson kashinda ligi na fa ambazo yanga na azam walikuwa washiriki
Ile pasi ya morisson kwa miquison ktk nusu fainali ya fa ktk mechi dhidi ya Azam kule songea ni zaidi ya goli.
Au hukuona Azam walivyokuwa wanampiga refa,walikuwa wanalalamikia ile pasi kuliko goli lenyewe
 
Red Arrows wameahidi kulipiza kisasi kwa ushindi wa mchongo.
 
Back
Top Bottom