Sinema: Tazama shoo za B.Morison hata kama ni Yanga

Sinema: Tazama shoo za B.Morison hata kama ni Yanga

Kilichomsaidia Morrison kukichafua jana ni Vile viatu maalum alivyoviagiza toka South Africa na ile mvua iliyoharibu uwanja ilisaidia yeye afanye atakavyo.

Hongera kwake na kwa wale waliomleta hapa nchini, hivyo ushindi wa Jana una mchango wa Yanga.
 
Kilimsaidia Morson kukichafua jana ni Vile viatu maalum alivyoviagiza toka South Africa na ile mvua iliyoharibu uwanja ilisaidia yeye afanye atakavyo.

Hongera zake, kuna umuhimu wa Yanga kukata rufaa tena CAS
.
JamiiForums-1591892018.jpg
IMG-20211128-WA0009.jpg
IMG-20211128-WA0005.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Jibu swali; ashawahi kufunga goli dhidi ya Yanga tofauti na alivoifunga simba pindi akiwa yanga?
Umewaza kama Mpumbavu. Kwani alipoifunga Simba siku ile Yanga ilichukua Ubingwa gani? Morrison anacheza kuisaidia Simba kushinda matches siyo kuifunga Yanga peke yake au Azam. Unataka na Ruvu nao waje waseme BM hajawah wafunga? Waje na AS. Vita, waje na Al Ahly, waje na Kaizer Chiefs? Be serious. Toeni huo mwiko huko nyuma muanze kuuelewa mpira.
 
Mbona mnatukana? Turudi kwenye swali
Umewaza kama Mpumbavu. Kwani alipoifunga Simba siku ile Yanga ilichukua Ubingwa gani? Morrison anacheza kuisaidia Simba kushinda matches siyo kuifunga Yanga peke yake au Azam. Unataka na Ruvu nao waje waseme BM hajawah wafunga? Waje na AS. Vita, waje na Al Ahly, waje na Kaizer Chiefs? Be serious. Toeni huo mwiko huko nyuma muanze kuuelewa mpira.
 
Kweli mpira Tanzania bado sana,kama haya nayo tunaona maajabu katika soka
 
Sio bure wewe....kwa maneno unayoandika.... kuna stage ya ukuaji wa ubongo wako ilipitia changamoto
Haji alishawaambia Yanga yote hamna akili isipokuwa baba yake na JK. kama mmepata hizo akili mtuambie
 
Eti ushindi wa mchongo. Walihaha wakapoteana zikabaki ni nguvu tuu wanatumia yaniii
Wamesema mechi ijayo refa ni wao, yaani Simba wakivuka tu mstari wa katikati ya uwanja, vibendera vyote vipo juu.
 
Back
Top Bottom