Singeli, muziki wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania

Nadhani tatizo haliko kwenye aina ya mziki, liko kwenye aina ya wasanii tulionao na maudhui wanayochagua kuyaimba.

Tofauti na miziki ya dini, naomba kama kuna yeyote mwenye ujasiri wa kutaja aina ya mziki ambao hauwezekani kuimbwa matusi au hamasa mbaya atutajie.
 
Tulia kijana waarabu walimaliza kazi huko kisiju wakasepa zao wakuwaachia misuli na viremba
 
Acha kuongea huku unabana pua mie sio mwarabu
 
Kwani uliambiwa Mimi msukuma[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

Hapa tunajadili tu, najua unachambia gunzi kule kwenu

Waarabu sio watu wazuri wameharibu sana pwani kisha wakaondoka wakiacha kizazi cha kijinga kabisa
 
Waarabu sio watu wazuri wameharibu sana pwani kisha wakaondoka wakiacha kizazi cha kijinga
Ila kule kwenu wale waliopo wameacha kizazi Cha kijanja[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]?

Mshamba wewe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] a
 
Kuna singeli zina mashairi yenye maudhui mazuri sana, yanayoelezea maisha ya Mtanzania halisi, usizihukumu zote kwa makosa ya chache.
 
Ila kule kwenu wale waliopo wameacha kizazi Cha kijanja[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]?

Mshamba wewe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] a
Waarabu sio watu wazuri wameharibu sana pwani kisha wakaondoka wakiacha kizazi cha kijinga kabisa
 
Waarabu sio watu wazuri wameharibu sana pwani kisha wakaondoka wakiacha kizazi cha kijinga kabisa
Nachojua unawasikia kazi wanavyofanya kule kwenu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hii ndo imefanya mleta uzi audiss huu mziki,kiufupi kakuta stutus ya mtu wake imewekwa hilo songi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekutana na ex wangu ,
Kakonda mbwa yule[emoji23]

Amefubaa[emoji16][emoji16][emoji16]

Amepauka paupau[emoji23][emoji23]


Amekauka kaukau[emoji23][emoji23]

hatukutukutu hatukutaki umekondeana kama karatasi[emoji1435][emoji1435]
 
Tuna midundo mizuri tuu ya asili kama sindimba, sangura, lizombe and many more, ambazo zikiwa modified ziko poa tuu. Hii singeli zamani ilikuwa inaitwa mchiriku ambao nao ulikuwa matusi mwanzo mwisho na ilikuwa ngoma ya wezi. Yaani ikipigwa mtaani lazima muibiwe sanaa na vurugu. Yaani mchiriku ilikuwa bora hata mdundiko ulikuwa na staha... Nashangaa leo eti nao unaitwa muziki really?? Yaani wameua muziki wa dansi wanapromoti singeli daah..
 
Labda huko huko Dar aisee siyo huku mikoani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…