Singeli, muziki wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania

Una uhakika unachosema? Kenge we
Waswahili wana mambo ya hovyo sana..ndio mana tabia za kishoga na kuinamishana zimeanzia pwani.

Sema singeli ina amsha amsha...ikipigwa huwezi kaa chini lazima unyanyuke ukaserebuke.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna kistaili kimoja huwa wanacheza anakisusa kiuno alafu mkono kaweka jichoni kama analia
 
Una uhakika we kenge? Njoo usukumani mbwa we
Unadhani hapa nipo wapi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]?

Ikungulyabashashi, Nkololo, Dutwa, Lalago, Nyaumata ni uzaramoni au nyero inakuwasha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Nyanonko

Nakwambia hawa wasukuma wanacheza kama hawana akili nzuri.

Hawa ni wasukuma daraja la kwanza ambao ni Ntuzu na Wenyewe wanajiita Wanyantuzu.
Sio wewe msukuma toleo la mwisho Mnyengw'eli wewe.

Mimi sio size yako hata kwenye mabishano
 
Waswahili wana mambo ya hovyo sana..ndio mana tabia za kishoga na kuinamishana zimeanzia pwani.

Sema singeli ina amsha amsha...ikipigwa huwezi kaa chini lazima unyanyuke ukaserebuke.

#MaendeleoHayanaChama
Usiseme waswahili sema wazaramo maana hao waliupokea ushoga mapema baada ya waarabu kuweka makazi yao pwani.
 
M
Unadhani hapa nipo wapi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]?

Ikungulyabashashi, Nkololo, Dutwa, Lalago, Nyaumata ni uzaramoni au nyero inakuwasha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Nyanonko

Nakwambia hawa wasukuma wanacheza kama hawana akili nzuri.

Hawa ni wasukuma daraja la kwanza ambao ni Ntuzu na Wenyewe wanajiita Wanyantuzu.
Sio wewe msukuma toleo la mwisho Mnyengw'eli wewe.

Mimi sio size yako hata kwenye mabishano
Uliwahi kuolewa na mnyantuzu tnen ukaachika wewe sio bure
 
Kwa nini Wazaramo?

Mswahili kwa tafsiri yako ni nani?

Uswahili ni nini?

Makabila yote yaliyopakana na bahari, kwa nini Wazaramo ndio wawe wameupokea ushoga na hawa Wandengereko, wadigo, Wanyagatwa, wabondei, wasegeju, wangindo, wamatumbi, wamwela, wamakonde wasiingie?

Kama chanzo ni waarabu, kwa nini Mataifa ya Ulaya na Marekani ndio wanaushikilia ushoga na kuusapoti? Na sio Saudi Arabia?

Au Kuna mzaramo amemfilimba mkeo au wewe mwenyewe sio kwa chuki hizi?
 
M

Uliwahi kuolewa na mnyantuzu tnen ukaachika wewe sio bure
Unawaza kuolewa olewa, vipi Wazaramo washakutembelea nini?

Inaonekana ushauponza tayari[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Kuna shughuli nyingi zinazofanya mtu azunguke Tanzania.
 
Waarabu sio watu wazuri wameharibu sana pwani kisha wakaondoka wakiacha kizazi cha kijinga kabisa
 
Unadhani hapa nipo wapi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]?

Ikungulyabashashi, Nkololo, Dutwa, Lalago, Nyaumata ni uzaramoni au nyero inakuwasha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Nyanonko

Nakwambia hawa wasukuma wanacheza kama hawana akili nzuri.

Hawa ni wasukuma daraja la kwanza ambao ni Ntuzu na Wenyewe wanajiita Wanyantuzu.
Sio wewe msukuma toleo la mwisho Mnyengw'eli wewe.

Mimi sio size yako hata kwenye mabishano
Namhala kisiju uletake okwene??olobhela si?

#MaendeleoHayanaChama
 
Waarabu sio watu wazuri wameharibu sana pwani kisha wakaondoka wakiacha kizazi cha kijinga kabisa
Waarabu wamejaa Nzega, Igunga vipi wale wadakama wameharibika.

Waarabu wamejaa Shinyanga mjini, Tinde, Geita, Meatu,Bariadi, Kwimba, Magu, Maswa, Buseresere mpaka chato vipi wale wasukuma wameharibika.

Acha generalization za ajabu.

Ila wa kule kwenu ni wasukuma[emoji38][emoji38][emoji38][emoji28] ila wa huku pwani waarabu.

Acha double standard
 
Back
Top Bottom