mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
- Thread starter
- #21
Lakini ni babaUlivyoandika baba nikajua baba mzazi. Kumbe mume wa mama mdogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini ni babaUlivyoandika baba nikajua baba mzazi. Kumbe mume wa mama mdogo
Msichana mdogo wa Kati ya umri wa miaka 17 Hadi 18 aitwaye Raheli mkaazi wa Kimpungua Manispaa ya Singida anadaiwa kujinyonga siku ya Jumapili 19/9/2021 baada ya mama yake mdogo kuwakuta wakifanya mapenzi na mume wake yaani baba mdogo wa marehemu.
Akielezea tukio Hilo mama huyo aliyejulikana kwa jina la Rehema Mathias au mama Yoabu alidai mnamo siku ya tukio walikuwa mgahawani kwao pamoja na marehemu ndipo alipomtuma kwenda kuleta maji nyumbani, alipomtuma alikawia sana hadi akamfuata nyumbani ndipo alipokutana na mechi kali ndani ya 6x6 huku mlango umefungwa, alipiga hodi mlango haukufunguliwa hadi aliporudi mgahawani na binti alimfuata nyuma akamuuliza mlifunga mlango na Baba yako kwanini akamwambia kaamulize baba. Wakarudi kwa pamoja hadi nyumbani kwao, yule mama akawauliza kwa pamoja yule jamaa aitwaye Fred akawa mbogo , lakini yule binti akafunguka kuwa huwa analazimishwaga na baba yake huyo,yule mama aliwaambia haya endeeleeni, akaondoka kwa hasira
Baada ya dakika 20 alifuatwa na Mume wake akaambiwa mtoto amejinyonga nenda nyumbani kamwone, na huyu bwana Fred alikimbilia moja kwa moja Polisi.
Idara ya Polisi upelelezi mkoa wa Singida walifika na kusema upelelezi wa awali unaonyesha kajinyonga mwenyewe, kitu ambacho kilikataliwa na ndugu wa marehemu pamoja na majirani waliokuwepo pale.
My take
Dunia imeharibika Sana aiseeee yani binti yako unamla asali
Mdogo wake wife ni shemeji Mkuu, hakuiti baba mdogo. Na shemeji mdogo wake wife yaani hizo kesi ni nyingi sana!Unakuta mdogo wake wife kaumbika ukitoka job unamkuta kavaa kanga moja kalalia tumbo kwenye koch huk anaangalia Tv mara umeingia huku umetokea kule unakutana nae anatoka kuoga kafunga kanga juu ya kifua huk chuchu zimesimama kama msumari hapo mawazo ya kishetan lazma yakupate
Wanawake wenye akil huwa wanawafundisha wadogo zao jins ya kuish na shemeji
Toka lini uliona mhalifu wa jambo kama hili la aibu akakubali kirahisi? Hata siku moja!Labda kutunza heshima huwezi jua
Uswahilini hayo mambo ya kawaiiida sana. Hukumu ingekwenda hivi:Mdogo wake wife ni shemeji Mkuu, hakuiti baba mdogo. Na shemeji mdogo wake wife yaani hizo kesi ni nyingi sana!
Joyce Kiria aingilie kati, issue kama hizi huwa zinampaisha sana.Abuse imepelekea kifo. Hatua zichukuliwe kwa mhusika
Binafsi nimekuelewaMambo mengine upuuzi mtupu.
Tuwe na stds.
Usimege mtu wa nyumba moja.
Usimege rafiki wa mpenzi wako.
Usimege workmate.
Usimege beki tatu.
Usimege mdogo au dada wa mpenzi.
Usimege mwanao.
HahahahahaUswahilini hayo mambo ya kawaiiida sana. Hukumu ingekwenda hivi:
Mama mdogo: " Pumbafu, sasa na wewe kwanini unakubali?" (makofi mawili matatu, kisha), "Usirudie tena. Haya nenda kaoshe vyombo upesi"
Mtoto: "Sawa mama sirudii"
Kwanini isiwe kinyume chake, kuwa waache kuwabaka watoto? Yaani mpaka hii unaona tatizo ni la binti?SINGIDA PUNGUZENI JAMENI MNAITOA MBUNYE HADI KWA WAZEE SASA
Na wanaume je?Huku singida kawaida tu wanawake wa huku hawajui kusema No
Unadhani huo ushenzi ameanza kufanyiwa akiwa na miaka 18??Miaka 18 sio mdogo tena
Ukute kutwa anashindia kanga na chupi tuUnakuta mdogo wake wife kaumbika ukitoka job unamkuta kavaa kanga moja kalalia tumbo kwenye koch huk anaangalia Tv mara umeingia huku umetokea kule unakutana nae anatoka kuoga kafunga kanga juu ya kifua huk chuchu zimesimama kama msumari hapo mawazo ya kishetan lazma yakupate
Wanawake wenye akil huwa wanawafundisha wadogo zao jins ya kuish na shemeji
Alaumiwe RICKY BOY....Matokeo ya kula tunda kimasihara masihara