Singida: Adaiwa kujinyonga baada ya kufumaniwa chumbani akiwa na baba yake

Singida: Adaiwa kujinyonga baada ya kufumaniwa chumbani akiwa na baba yake

Umasikini unachangia matukio kama haya kutokea. Rachael alikua anakaa kwa mama mdogo, mdogo wa mama yake. Inawezekana mama mdogo ana hali bora ya maisha kuliko wazazi wa Rachael.

Tunapo toa watoto kwenda kuishi wana ndugu, tiwasisitize kuwa, wawe na uhuru wa kueleza matatizo yanayowakumba. Binadamu wengine kama Fred hawaelewi kuwa maisha ni kuasidiana. Ingeweza kutokea Rachael kuwasaidia watoto wake wakati yeye akiwa na matatizo au akiwa hayupo duniani.
Kabisaa
 
Tamaa tamaa tamaa, vibinti vya miaka hii vimejaa tamaa sana.
 
Uswahilini hayo mambo ya kawaiiida sana. Hukumu ingekwenda hivi:
Mama mdogo: " Pumbafu, sasa na wewe kwanini unakubali?" (makofi mawili matatu, kisha), "Usirudie tena. Haya nenda kaoshe vyombo upesi"
Mtoto: "Sawa mama sirudii"
binti angerudishwa kwao tu, angeambiwa akae kimywa asimwambie mtu
 
Mambo mengine upuuzi mtupu.

Tuwe na stds.

Usimege mtu wa nyumba moja.

Usimege rafiki wa mpenzi wako.

Usimege workmate.

Usimege beki tatu.

Usimege mdogo au dada wa mpenzi.

Usimege mwanao.
Namba tatu...
 
Msichana mdogo wa Kati ya umri wa miaka 17 Hadi 18 aitwaye Raheli mkaazi wa Kimpungua Manispaa ya Singida anadaiwa kujinyonga siku ya Jumapili 19/9/2021 baada ya mama yake mdogo kuwakuta wakifanya mapenzi na mume wake yaani baba mdogo wa marehemu.

Akielezea tukio Hilo mama huyo aliyejulikana kwa jina la Rehema Mathias au mama Yoabu alidai mnamo siku ya tukio walikuwa mgahawani kwao pamoja na marehemu ndipo alipomtuma kwenda kuleta maji nyumbani, alipomtuma alikawia sana hadi akamfuata nyumbani ndipo alipokutana na mechi kali ndani ya 6x6 huku mlango umefungwa, alipiga hodi mlango haukufunguliwa hadi aliporudi mgahawani na binti alimfuata nyuma akamuuliza mlifunga mlango na Baba yako kwanini akamwambia kaamulize baba. Wakarudi kwa pamoja hadi nyumbani kwao, yule mama akawauliza kwa pamoja yule jamaa aitwaye Fred akawa mbogo , lakini yule binti akafunguka kuwa huwa analazimishwaga na baba yake huyo,yule mama aliwaambia haya endeeleeni, akaondoka kwa hasira

Baada ya dakika 20 alifuatwa na Mume wake akaambiwa mtoto amejinyonga nenda nyumbani kamwone, na huyu bwana Fred alikimbilia moja kwa moja Polisi.

Idara ya Polisi upelelezi mkoa wa Singida walifika na kusema upelelezi wa awali unaonyesha kajinyonga mwenyewe, kitu ambacho kilikataliwa na ndugu wa marehemu pamoja na majirani waliokuwepo pale.

My take
Dunia imeharibika Sana aiseeee yani binti yako unamla asali
Hii inaumiza sana,hiyo ni abuse.Hata kama kajinyonga mwenyewe najaribu kuvaa hisia za wazazi wake.Mijanaume mingine unaiona kama iko timamu tayari wagonjwa wa akili
 
kumbe haina baya, nilidhani mtoto wa kakaake fredi,
Dah!

Tabia mbovu sana ..matokeo mtoto kafa na alikuwa anamlazimisha...

Unyama tu..ndio hawa wabakaji sasa ndoa inakufa na jela anakwenda... Angekuwa mtoto wako..ungejisikiaje mkuu?!
 
Back
Top Bottom