Singida: Adaiwa kujinyonga baada ya kufumaniwa chumbani akiwa na baba yake


Usiseme dunia,,,ni binadamu wamebadilika.

Huyo binti huko aendako atakiona cha 🔥
 
Mdogo wake wife ni shemeji Mkuu, hakuiti baba mdogo. Na shemeji mdogo wake wife yaani hizo kesi ni nyingi sana!
 
wewe mke ziwa lishalala tako huna unaleta kamdogo kako karembo tako liko cm 50 nyuma chuchu konzi saa 6 kasoro unategemea nini aaah ila mzee angevunga tu.
Ila watu wanawezaje mbona mimi mdada wa hata secondary siwezi kumtongoza asee sijui naonaje sasa zee zima na mtoto wa 17
 
Mdogo wake wife ni shemeji Mkuu, hakuiti baba mdogo. Na shemeji mdogo wake wife yaani hizo kesi ni nyingi sana!
Uswahilini hayo mambo ya kawaiiida sana. Hukumu ingekwenda hivi:
Mama mdogo: " Pumbafu, sasa na wewe kwanini unakubali?" (makofi mawili matatu, kisha), "Usirudie tena. Haya nenda kaoshe vyombo upesi"
Mtoto: "Sawa mama sirudii"
 
Mambo mengine upuuzi mtupu.

Tuwe na stds.

Usimege mtu wa nyumba moja.

Usimege rafiki wa mpenzi wako.

Usimege workmate.

Usimege beki tatu.

Usimege mdogo au dada wa mpenzi.

Usimege mwanao.
Binafsi nimekuelewa
 
Uswahilini hayo mambo ya kawaiiida sana. Hukumu ingekwenda hivi:
Mama mdogo: " Pumbafu, sasa na wewe kwanini unakubali?" (makofi mawili matatu, kisha), "Usirudie tena. Haya nenda kaoshe vyombo upesi"
Mtoto: "Sawa mama sirudii"
Hahahahaha
 
Yaani uko ofisini, dogo anaji whatsapp status yupo mgahawani. Aisee. Na zile filter. Fred acha apewe lawama. Kuna vitu havivumliki, watoto wakisasa hawavumiliki. Ni wazuri.
 
Ukute kutwa anashindia kanga na chupi tu
Chura hiyo

Ova
 
Umasikini unachangia matukio kama haya kutokea. Rachael alikua anakaa kwa mama mdogo, mdogo wa mama yake. Inawezekana mama mdogo ana hali bora ya maisha kuliko wazazi wa Rachael.

Tunapo toa watoto kwenda kuishi wana ndugu, tiwasisitize kuwa, wawe na uhuru wa kueleza matatizo yanayowakumba. Binadamu wengine kama Fred hawaelewi kuwa maisha ni kuasidiana. Ingeweza kutokea Rachael kuwasaidia watoto wake wakati yeye akiwa na matatizo au akiwa hayupo duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…