Singida: Adaiwa kujinyonga baada ya kufumaniwa chumbani akiwa na baba yake

Kabisaa
 
Tamaa tamaa tamaa, vibinti vya miaka hii vimejaa tamaa sana.
 
Uswahilini hayo mambo ya kawaiiida sana. Hukumu ingekwenda hivi:
Mama mdogo: " Pumbafu, sasa na wewe kwanini unakubali?" (makofi mawili matatu, kisha), "Usirudie tena. Haya nenda kaoshe vyombo upesi"
Mtoto: "Sawa mama sirudii"
binti angerudishwa kwao tu, angeambiwa akae kimywa asimwambie mtu
 
Mambo mengine upuuzi mtupu.

Tuwe na stds.

Usimege mtu wa nyumba moja.

Usimege rafiki wa mpenzi wako.

Usimege workmate.

Usimege beki tatu.

Usimege mdogo au dada wa mpenzi.

Usimege mwanao.
Namba tatu...
 
Hii inaumiza sana,hiyo ni abuse.Hata kama kajinyonga mwenyewe najaribu kuvaa hisia za wazazi wake.Mijanaume mingine unaiona kama iko timamu tayari wagonjwa wa akili
 
kumbe haina baya, nilidhani mtoto wa kakaake fredi,
Dah!

Tabia mbovu sana ..matokeo mtoto kafa na alikuwa anamlazimisha...

Unyama tu..ndio hawa wabakaji sasa ndoa inakufa na jela anakwenda... Angekuwa mtoto wako..ungejisikiaje mkuu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…