SINGIDA: Auawa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu shambani

SINGIDA: Auawa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu shambani

Dah bado anaishi huyu kweli?
Bado mzima ingawaje maswali yalikuwa mengi amewezaje kukatwa na mtu mmoja..baadae stories nyingine zinasema alijikata mwenyewe..mambo yakawa mengi ila ugoni alishikwa na tatizo ndo hilo kalipata bado kalazwa hospital ya rufaa sokoine
 
MKAZI wa Kijiji Cha Merya Tarafa ya Ilongero wilayani Singida, Innocent Dube (49), ameuawa kwa kuchomwa kisu mgongoni baada ya kukutwa akifanya ngono na mke wa mtu shambani.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo wakati akizungumza na waandishi wa Habari ambapo amesema, tukio hilo limetokea Julai 9, 2023.

Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi linamsaka Simon Mwangi (58) mkazi wa Ghata wilayani Singida anayedaiwa kuhusika na mauaji hayo.

CHANZO: NIPASHE
Duh
 
Chini ya mikahawa, migomba, chai, vichaka, kando ya mto.... . ndo maisha ya kijijini

kwa mjini mwendo wa faranga
 
kuna mmoja twitter amefumwa akiwa juu ya mke wa mtu anapekenyuaa tundaa....kalaa chumaa kadhaaa na mke naee kala chuma😕😕 kiufupi hatua kubwa ya kwanza ya mafanikio ya mwanaume ni KUZISHINDAA GENYEEE.
 
Kisu Cha mgongo itakuwa aliwakuta katikati ya tendo

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Alimkutaa kipindi kile Raha imekoleo masikio yanàsikia sauti ya zzzzzxxx huku udenda ukitoka, yaani zile sekunde Mia kabla ya kumwaga mafuta. Huku mwanamke asmebana mgongo kwa miguu yake miwili na anakuvutia kwake kwa nguvu zote. Wanawake wengine ndio muda huo anaingiza ulimi wake kwenye sikio. Aluuuh
 
Back
Top Bottom