ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Bado mzima ingawaje maswali yalikuwa mengi amewezaje kukatwa na mtu mmoja..baadae stories nyingine zinasema alijikata mwenyewe..mambo yakawa mengi ila ugoni alishikwa na tatizo ndo hilo kalipata bado kalazwa hospital ya rufaa sokoineDah bado anaishi huyu kweli?

DuhHakuna sehem salama tena ya kugonga wake za watu zamani ilikuwa kanda ya ziwa ..juzi kusini huku lindi mtu kafumaniwa kakatwa mb0 yote kaachiwa mbupu peke yake
Tena mazishi ya mende..!!Kisu Cha mgongo itakuwa aliwakuta katikati ya tendo
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
DuhMKAZI wa Kijiji Cha Merya Tarafa ya Ilongero wilayani Singida, Innocent Dube (49), ameuawa kwa kuchomwa kisu mgongoni baada ya kukutwa akifanya ngono na mke wa mtu shambani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo wakati akizungumza na waandishi wa Habari ambapo amesema, tukio hilo limetokea Julai 9, 2023.
Kufuatia tukio hilo, Jeshi la Polisi linamsaka Simon Mwangi (58) mkazi wa Ghata wilayani Singida anayedaiwa kuhusika na mauaji hayo.
CHANZO: NIPASHE
Kwa hiyo ingekuwa mwishoni mwa tendo wangechoma Tako?Kisu Cha mgongo itakuwa aliwakuta katikati ya tendo
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
We jamaa kavu sana[emoji2]Hapo huenda ni mwana jf alikuwa anapiga kimasihara aje ashuhudie kwenye ule uzi wa kula kimasihara
[emoji16][emoji16]tena huenda Kimsboy mwenyewe captain wa uzi
huyo aliyatakaa mwenyeweeeWazee wa kula kimasikhara hao, π π π .
Yaani mnapukutishwa kama njugu
Kisu cha mgongo ni sawa na askali kula risasi ya kisogoni....πππhuyo aliyatakaa mwenyeweee
Alimkutaa kipindi kile Raha imekoleo masikio yanΓ sikia sauti ya zzzzzxxx huku udenda ukitoka, yaani zile sekunde Mia kabla ya kumwaga mafuta. Huku mwanamke asmebana mgongo kwa miguu yake miwili na anakuvutia kwake kwa nguvu zote. Wanawake wengine ndio muda huo anaingiza ulimi wake kwenye sikio. AluuuhKisu Cha mgongo itakuwa aliwakuta katikati ya tendo
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app