Shida kupata watu sahihi hatutaki,huyu MWIGULU siyo sahihi aliona fursa binafsi za kichama lakini hayupo kiupeo na maona ya kitaifa..Tatizo nani atamhoji.
Esther Bus ,Esther vituo vya mafuta sasa Singida big stars ,anaandikisha tu kwa jina la mke wake Esther
Achukue vijana so hana malengo kwamba hii ni ligi kuu? Waliweka idea kwamba vijana ni bora na watakuwa bora kutetea ubingwaAzam alikata bajeti ya kuendesha timu na alitema almost nusu ya kikosi chake ndani ya msimu mmoja.
Aishi Manula, Shomari kapombe , Erasto Nyoni , John Bocco, Pascal Wawa na wengine wengi walitemwa ndani ya msimu mmoja.
Azam ikaja na policy ya kusajiri vijana wadogo Kwa bei ndogo. Kama unakumbuka walienda kusajiri wachezaji wengi Kutokea Mbao FC ya mwanza ; wachezaji kama Benedict Haule N.k
Hivyo basi nakupinga kuwa Azam alichukua ubingwa Simba na Yanga zikiwa hazina pesa si kweli , Yanga pesa ilikuwepo chini ya Manji. Azam ilichukua Kwa kikosi Bora Tena Bora sana
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Tanzanite Bus si ni yake pia?Tatizo nani atamhoji.
Esther Bus ,Esther vituo vya mafuta sasa Singida big stars ,anaandikisha tu kwa jina la mke wake Esther
Apambane tu,maana hapa kusingekuwa na majaribio,unadhani Simba wamchukue Kyombo halafu wamwache Mpole?Dah balaaa...yeye angechukua mzigo wa mmoja ya hao watani maisha yanaendelea.
Duh kwa hiyo sauz wamempiga chini...apambane sasa kwenye mechi za kimataifa aonekane
Na hapa ndipo walopo kosea. Huwezi kuuza wachezaji wako watano wa first team alafu ukadhani kwamba utaweza compete. Aliofanya hiyo decision ni mtu ambaye haelewi the football industry.Azam alikata bajeti ya kuendesha timu na alitema almost nusu ya kikosi chake ndani ya msimu mmoja.
Aishi Manula, Shomari kapombe , Erasto Nyoni , John Bocco, Pascal Wawa na wengine wengi walitemwa ndani ya msimu mmoja.
Azam ikaja na policy ya kusajiri vijana wadogo Kwa bei ndogo. Kama unakumbuka walienda kusajiri wachezaji wengi Kutokea Mbao FC ya mwanza ; wachezaji kama Benedict Haule N.k
Hivyo basi nakupinga kuwa Azam alichukua ubingwa Simba na Yanga zikiwa hazina pesa si kweli , Yanga pesa ilikuwepo chini ya Manji. Azam ilichukua Kwa kikosi Bora Tena Bora sana
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Walitolewa sadaka kwenda Simba.Azam alikata bajeti ya kuendesha timu na alitema almost nusu ya kikosi chake ndani ya msimu mmoja.
Aishi Manula, Shomari kapombe , Erasto Nyoni , John Bocco, Pascal Wawa na wengine wengi walitemwa ndani ya msimu mmoja.
Azam ikaja na policy ya kusajiri vijana wadogo Kwa bei ndogo. Kama unakumbuka walienda kusajiri wachezaji wengi Kutokea Mbao FC ya mwanza ; wachezaji kama Benedict Haule N.k
Hivyo basi nakupinga kuwa Azam alichukua ubingwa Simba na Yanga zikiwa hazina pesa si kweli , Yanga pesa ilikuwepo chini ya Manji. Azam ilichukua Kwa kikosi Bora Tena Bora sana
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
[emoji23] hatareeh sanaGoli ipo dar kapiga arusha
Tuje tuwaombe connection, maana kumil kampuni ya mabasi sio mchezoSijui mkuu ila Esther Bus na sheli ni za mke wake
Ngoja waje wenye topolo lao!Hawa Wa Brazil ni hatari Sana..kuna jemba inaitwa Federico..moloko anaingia Mara 5
SHUKRANI MKUUNi ZANACO mkuu waliocheza na Yanga ,updates nakupa hatua kwa hatua.
Timu zipo vyumbani kusubiriwa kipute ianze
Mhhhh! kocha wa singida au zanaco?Kocha wa Singida anahojiwa kwamba hii game ya kirafiki unachukulia kama ya ushindani na unaonaje na ile mechi ya Yanga?
Anajibu :Tumealikwa ni heshima kubwa ,siyo mara ya kwanza kuwa Tanzania.
Kwahiyo tutaenjoy game
Singida ni dawa ya MakoloMwigulu achunguzwe. Kuna wizi utakuwa umefanyika,hizi hela katoa wapi. Vyanzo viwekwe wazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadi ana upara na umri wa kibongo unaweza kukuta ana hata miaka 50
Mwenyewe nimeshangaa had wa Brazil koko wapo, khaaahMwigulu achunguzwe. Kuna wizi utakuwa umefanyika,hizi hela katoa wapi. Vyanzo viwekwe wazi
Mwenye pesa aisee AIFUFUE TIMU YANGU NYOTA NYEKUNDUNimeona awa SBS ni hatar aisee