Singida Big Day: Singida Big Stars vs ZANACO

Lakini sii bora anapiga lakini na wananchi wanasambaziwa vijisenti jameni.....sema hapa kwa kisambaz senti kwa wachezaji wa kigeni ndio alipokosea.
Mkuu ngoja nikuambie kitu ,hizi timu za jadi usicheze nazo Azam alipata kombe mara moja wakati watani wa jadi wote hawana hela ,sasa hivi kila mtu anatamani moja ateleze awekeze,matokeo mabovu matatu hizo timu unafurumushwa na mashabiki umeweka hisa kiasi gani hawajui wanakuja mlangoni kwako,inafuatiliwa kila Senti wakitaka huyu mchezaji wao wanamtaka huna namna ,marefa hivo hivo chupri chupri either Msimbazi au jangwani,hadi TFF ukishindwa utaporwa points kwa kushauriwa kumbe mtego unafanya kosa,hawa Singida Big Stars unaowaona ngoja wakutane na Simba au Yanga wanakula hata 4-0, hizo game kuna pride kwamba Mimi ndo mimi
 
Nakubaliana na wewe kuhusu upenzi wa simba na yanga.
Ila kwa azam nadhani tatizo kubwa lipo kwao wenyewe. Haiwezekani wee point difference inakuwa point 18 sijui huko kati yako na bingwa. Hapo inamaanisha kuwa wee mwenyewe una matatizo yako na sio figisu za hawa mapacha.
 
Hawa Singinda na huu usajili unadhani Azam watapata nafasi ya 3? Kama watabaki hawa hawa wachezaji sahau Azam nafasi ya 3 ,isitokee mgongoro au mambo ya financial Singinda ,kuna Geita pia
 
Nafasi ya tatu patakuwa patamu kweli maana hawa singida, azam na geita watapelekeano pumzi ya moto
 
Mkuu ngoja nikuambie kitu ,hizi timu za jadi usicheze nazo Azam alipata kombe mara moja wakati watani wa jadi wote hawana hela ,sasa hivi kila mtu anatamani moja ateleze awekeze,matokeo mabovu matatu hizo timu unafurumushwa na mashabiki umeweka hisa kiasi gani hawajui wanakuja mlangoni kwako,inafuatiliwa kila Senti wakitaka huyu mchezaji wao wanamtaka huna namna ,marefa hivo hivo chupri chupri either Msimbazi au jangwani,hadi TFF ukishindwa utaporwa points kwa kushauriwa kumbe mtego unafanya kosa,hawa Singida Big Stars unaowaona ngoja wakutane na Simba au Yanga wanakula hata 4-0, hizo game kuna pride kwamba Mimi ndo mimi
Azam alikata bajeti ya kuendesha timu na alitema almost nusu ya kikosi chake ndani ya msimu mmoja.

Aishi Manula, Shomari kapombe , Erasto Nyoni , John Bocco, Pascal Wawa na wengine wengi walitemwa ndani ya msimu mmoja.

Azam ikaja na policy ya kusajiri vijana wadogo Kwa bei ndogo. Kama unakumbuka walienda kusajiri wachezaji wengi Kutokea Mbao FC ya mwanza ; wachezaji kama Benedict Haule N.k

Hivyo basi nakupinga kuwa Azam alichukua ubingwa Simba na Yanga zikiwa hazina pesa si kweli , Yanga pesa ilikuwepo chini ya Manji. Azam ilichukua Kwa kikosi Bora Tena Bora sana

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Za ndani alizingua pote kwa mapacha wa Kariakoo kwa kufanya majaribio bondeni akakosa na huko,so anarudi pale pale ,haina uhakika,what a waste unadhani atasikika tena au bahati utajirudi bila kuwa Simba au Yanga?
Dah balaaa...yeye angechukua mzigo wa mmoja ya hao watani maisha yanaendelea.
Duh kwa hiyo sauz wamempiga chini...apambane sasa kwenye mechi za kimataifa aonekane
 
Back
Top Bottom