Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona awa SBS ni hatar aisee
Yanga jeHuu usajili kazi ipo yaani mechi ya simba na hawa singida kutakuwa na shughuli pevu
Ah hapo mmilikiwa timu atasema waachieni wabingwa wa nchi wapate point tatuYanga je
Singida United imekufa kifo cha Mende, naiombea hii isije ikafuata nyayo hizo.Wachezaji wanatambulishwa.
Kagere ,Wawa na wachezaji wengi tu wakubwa kibao
Uwanja umejaa ,naona wanapitia hatua zile zile za wapinzani wa jadi.
Kwa hizi bwembwe na wachezaji hadi Brazil Azam jiandaeni ligi ngumu hii ila ukweli ni kwamba watani wa Kariakoo huwa wanapishana ubingwa tu ila nafasi msimamo ni 1 na 2.
Azam sport HD live mechi inaanza kati ya Singida Big Star vs ZANACO.
Update: kocha wa Singida Hans Van der
Antonio Nugaz ndo mshereheshaji mzee wa wape salaam!
Kaseke naye anapasha
View attachment 2314056View attachment 2314057View attachment 2314058
Kikosi cha Singida
View attachment 2314063
Updates
Namna gani vile Mbrazil wa Singida anapiga shuti kipa wa zanako anachukua na kutema dk ya 3
Dk 4' ZANACO wanashindwa kufunga kipa wa Singida anadaka
Dk 6' ZANACO wanapata kona ila fyongo inakuwa goal kick.
Dk ya 14 Deus Kaseke anawaandikia Singida goli,pasi ndani ya box naye anaunganisha
Singida 1 ZANACO 0