Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usajili wa wachezaji waliochokaMkuu wamefanya usajili hawa Singida Big Stars kazi ipo ligi kuu
Mwigulu yumo Big Star? Singida United kumbe aliitelekezaHuwezi kujua labda jamaa ana plan b kwenye uwekezaji anajitosa rasmi kwenye biashara au anatakatisha fedha
Tuwasubiri kwenye ligiUsajili wa wachezaji waliochoka
Wawa
Kagere
Amisi Tambwe
Kaseke
Kashaandaa bahasha ya kaki?Ah hapo mmilikiwa timu atasema waachieni wabingwa wa nchi wapate point tatu
Ndo hiyo hiyo, uongozi ni uleule na mmiliki ni yuleyule. Kifupi hao ndo Singida United.Mwigulu yumo Big Star? Singida United kumbe aliitelekeza
Ila iliyewapa wazo la kuita timu singida big stars kwa kweli kawaingiza chaka...jina halina mvutoNdo hiyo hiyo, uongozi ni uleule na mmiliki ni yuleyule. Kifupi hao ndo Singida United.
Wala hamna shida ya bahasha wakati singida anacheza na yangaKashaandaa bahasha ya kaki?
Jina la hovyo kweli ya kishamba ,kama vijana wa o- level wanavyojitungia a.k.a bila vision,nadhani lengo lilikuwa lazima jina iwe SingindaIla iliyewapa wazo la kuita timu singida big stars kwa kweli kawaingiza chaka...jina halina mvuto
Sijaelewa, ana idea ya tafuta goli lake au Hana idea ya kulenga nyavuni kwa mpinzani?Huyu mshambuliaji Mbrazil ana umri gani ,naona ana idea ya kutafuta goli ,akiendelea hivi Singida watalia
[emoji23]Hadi ana upara na umri wa kibongo unaweza kukuta ana hata miaka 50
Unamaanisha jina limebadilishwa na kuwa Big Star badala ya United iliyoshukaga daraja?Ndo hiyo hiyo, uongozi ni uleule na mmiliki ni yuleyule. Kifupi hao ndo Singida United.