Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadhamimi wao hao hapo, mdhamini mkuu SporMdhamini wao mkuu ni nani jamaniii
Mbombo ngafu mwaka huu ....hapo wengi watalia ...#ligikuu ianzee tuuuWadhamimi wao hao hapo, mdhamini mkuu SporView attachment 2314096tpesa
HUYU WAZIRI WA FEDHA MWIGULU AKIPATAGA KAZI YA UWAZIRI TU TIMU YA SINGIDA INAFUFUKA KWA UFADHILI WAKE KIFEDHA, AKIFUKUZWAGA UWAZIRI TIMU INAPOTEAGA, ANATUMIA TOZO ZA PESA YA UMMA KUJIJENGEA UFAHARI NA UMAARUFU, VYOMBO VYA DOLA AMKENI, USAJILI WAKE BAADA YA KUPEWA WIZARA YA FEDHA NI KUFULUWachezaji wanatambulishwa.
Kagere ,Wawa na wachezaji wengi tu wakubwa kibao
Uwanja umejaa ,naona wanapitia hatua zile zile za wapinzani wa jadi.
Kwa hizi bwembwe na wachezaji hadi Brazil Azam jiandaeni ligi ngumu hii ila ukweli ni kwamba watani wa Kariakoo huwa wanapishana ubingwa tu ila nafasi msimamo ni 1 na 2.
Azam sport HD live mechi inaanza kati ya Singida Big Star vs ZANACO.
Update: kocha wa Singida Hans Van der
Antonio Nugaz ndo mshereheshaji mzee wa wape salaam!
Kaseke naye anapasha
View attachment 2314056View attachment 2314057View attachment 2314058
Kikosi cha Singida
View attachment 2314063
Updates
Namna gani vile Mbrazil wa Singida anapiga shuti kipa wa zanako anachukua na kutema dk ya 3
Dk 4' ZANACO wanashindwa kufunga kipa wa Singida anadaka
Dk 6' ZANACO wanapata kona ila fyongo inakuwa goal kick.
Dk ya 14 Deus Kaseke anawaandikia Singida goli,pasi ndani ya box naye anaunganisha
Singida 1 ZANACO 0
Dk 23' Huna Abdul mnyamani anaumia baada ya kushambuliwa na kuruka juu
Dk ya 25 Singida united wanakoswa huku wakisali ya Mungu mengi
Dk ya 27" Demla anamkosa kipa wa ZANACO inakuwa reflection na kuwa corner
Dk 45' zimeisha imeongezwa dk 1 ,matokeo vile vile. Kuna mchezaji wa Singida united analala chini kama ana mapepo na refa Arajiga anaona hii janja tu.
Kipenga kinapulizwa ni half time
Tukutane kipindi cha pili..
kipindi cha kwanza ZANACO hawana hata shoot on target
.........
Dk 45 za kwanza tayari wachezaji wanarudi. Big surprise kwao leo ni Medie Kagere.
Dk.45 mpira unaanza
Upigaji mkuu,anatakiwa achunguzweHUYU WAZIRI WA FEDHA MWIGULU AKIPATAGA KAZI YA UWAZIRI TU TIMU YA SINGIDA INAFUFUKA KWA UFADHILI WAKE KIFEDHA, AKIFUKUZWAGA UWAZIRI TIMU INAPOTEAGA, ANATUMIA TOZO ZA PESA YA UMMA KUJIJENGEA UFAHARI NA UMAARUFU, VYOMBO VYA DOLA AMKENI, USAJILI WAKE BAADA YA KUPEWA WIZARA YA FEDHA NI KUFULU
Sawa mkuuMkuu Singida Big Star ndo Singida United
Lakini sii bora anapiga lakini na wananchi wanasambaziwa vijisenti jameni.....sema hapa kwa kisambaz senti kwa wachezaji wa kigeni ndio alipokosea.Upigaji mkuu,anatakiwa achunguzwe
Kiwango kikubwa au kidogo?Hizi timu za Zambia nadhani siyo vipimo vyetu ligi kuu
Mwizi tu huyu, ndio maana Hana ubunifu serikalini. Anachowaza ni kutoza wananchi tozo kila kukicha, anatembelea gari ya zaidi ya milioni 500. Phd ya mchongo tu kujaza vyeti masjalaUpigaji mkuu,anatakiwa achunguzwe