Singida Big Day: Singida Big Stars vs ZANACO

Singida Big Day: Singida Big Stars vs ZANACO

Mdhamini wao mkuu ni nani jamaniii
Wadhamimi wao hao hapo, mdhamini mkuu Spor
43FCCEC9-223F-4E65-B13E-45300DD12679.jpeg
tpesa
 
Hilo jina lao big stars sijalielewa, bora wangeendelea kuitwa Singida Utd.
 
Wachezaji wanatambulishwa.
Kagere ,Wawa na wachezaji wengi tu wakubwa kibao

Uwanja umejaa ,naona wanapitia hatua zile zile za wapinzani wa jadi.

Kwa hizi bwembwe na wachezaji hadi Brazil Azam jiandaeni ligi ngumu hii ila ukweli ni kwamba watani wa Kariakoo huwa wanapishana ubingwa tu ila nafasi msimamo ni 1 na 2.

Azam sport HD live mechi inaanza kati ya Singida Big Star vs ZANACO.

Update: kocha wa Singida Hans Van der
Antonio Nugaz ndo mshereheshaji mzee wa wape salaam!

Kaseke naye anapasha
View attachment 2314056View attachment 2314057View attachment 2314058

Kikosi cha Singida
View attachment 2314063

Updates

Namna gani vile Mbrazil wa Singida anapiga shuti kipa wa zanako anachukua na kutema dk ya 3

Dk 4' ZANACO wanashindwa kufunga kipa wa Singida anadaka


Dk 6' ZANACO wanapata kona ila fyongo inakuwa goal kick.

Dk ya 14 Deus Kaseke anawaandikia Singida goli,pasi ndani ya box naye anaunganisha


Singida 1 ZANACO 0

Dk 23' Huna Abdul mnyamani anaumia baada ya kushambuliwa na kuruka juu

Dk ya 25 Singida united wanakoswa huku wakisali ya Mungu mengi

Dk ya 27" Demla anamkosa kipa wa ZANACO inakuwa reflection na kuwa corner


Dk 45' zimeisha imeongezwa dk 1 ,matokeo vile vile. Kuna mchezaji wa Singida united analala chini kama ana mapepo na refa Arajiga anaona hii janja tu.
Kipenga kinapulizwa ni half time



Tukutane kipindi cha pili..


kipindi cha kwanza ZANACO hawana hata shoot on target


.........

Dk 45 za kwanza tayari wachezaji wanarudi. Big surprise kwao leo ni Medie Kagere.


Dk.45 mpira unaanza
HUYU WAZIRI WA FEDHA MWIGULU AKIPATAGA KAZI YA UWAZIRI TU TIMU YA SINGIDA INAFUFUKA KWA UFADHILI WAKE KIFEDHA, AKIFUKUZWAGA UWAZIRI TIMU INAPOTEAGA, ANATUMIA TOZO ZA PESA YA UMMA KUJIJENGEA UFAHARI NA UMAARUFU, VYOMBO VYA DOLA AMKENI, USAJILI WAKE BAADA YA KUPEWA WIZARA YA FEDHA NI KUFULU
 
ZANACO wanacheza nusu ya Singida big stars
 
HUYU WAZIRI WA FEDHA MWIGULU AKIPATAGA KAZI YA UWAZIRI TU TIMU YA SINGIDA INAFUFUKA KWA UFADHILI WAKE KIFEDHA, AKIFUKUZWAGA UWAZIRI TIMU INAPOTEAGA, ANATUMIA TOZO ZA PESA YA UMMA KUJIJENGEA UFAHARI NA UMAARUFU, VYOMBO VYA DOLA AMKENI, USAJILI WAKE BAADA YA KUPEWA WIZARA YA FEDHA NI KUFULU
Upigaji mkuu,anatakiwa achunguzwe
 
Upigaji mkuu,anatakiwa achunguzwe
Lakini sii bora anapiga lakini na wananchi wanasambaziwa vijisenti jameni.....sema hapa kwa kisambaz senti kwa wachezaji wa kigeni ndio alipokosea.
 
Back
Top Bottom