Mkuu ngoja nikuambie kitu ,hizi timu za jadi usicheze nazo Azam alipata kombe mara moja wakati watani wa jadi wote hawana hela ,sasa hivi kila mtu anatamani moja ateleze awekeze,matokeo mabovu matatu hizo timu unafurumushwa na mashabiki umeweka hisa kiasi gani hawajui wanakuja mlangoni kwako,inafuatiliwa kila Senti wakitaka huyu mchezaji wao wanamtaka huna namna ,marefa hivo hivo chupri chupri either Msimbazi au jangwani,hadi TFF ukishindwa utaporwa points kwa kushauriwa kumbe mtego unafanya kosa,hawa Singida Big Stars unaowaona ngoja wakutane na Simba au Yanga wanakula hata 4-0, hizo game kuna pride kwamba Mimi ndo mimi