Azam alikata bajeti ya kuendesha timu na alitema almost nusu ya kikosi chake ndani ya msimu mmoja.
Aishi Manula, Shomari kapombe , Erasto Nyoni , John Bocco, Pascal Wawa na wengine wengi walitemwa ndani ya msimu mmoja.
Azam ikaja na policy ya kusajiri vijana wadogo Kwa bei ndogo. Kama unakumbuka walienda kusajiri wachezaji wengi Kutokea Mbao FC ya mwanza ; wachezaji kama Benedict Haule N.k
Hivyo basi nakupinga kuwa Azam alichukua ubingwa Simba na Yanga zikiwa hazina pesa si kweli , Yanga pesa ilikuwepo chini ya Manji. Azam ilichukua Kwa kikosi Bora Tena Bora sana
Sent from my SM-A032F using
JamiiForums mobile app