Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ni wajinga mnatumika na YangaView attachment 2263057
Watu wa Soka,
Naitwa Hussein Massanza. Ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano; Pia Afisa Habari na Msemaji wa Singida Big Stars FC (zamani DTB FC).
Timu yetu imefanikiwa kupanda daraja na kufuzu kucheza Ligi Kuu kuanzia msimu ujao wa 2022/2023, hivyo nitumie fursa hii kuwashukuru mashabiki wetu wote kwa sapoti mliyotupatia tangu tukiwa tunaitwa DTB FC. Nawashukuru pia wanahabari na wadau wengine . Tuendako ni kuzuri zaidi, tunaomba muendelee kutusapoti kwa nguvu zaidi.
Kupitia uzi huu maalum; nitapokea maoni, ushauri na mapendekezo yatakayonisadia mimi binafsi katika kutekeleza majukumu yangu, lakini pia yatakayoisadia timu yetu kufanya vizuri, ikizingatiwa sisi ni wageni Ligi Kuu na malengo yetu ni kufanya vizuri kama tulivyokimbiza kule Daraja la Kwanza (Championship).
Simu/WhatsApp: +255 713 475715
Karibuni sana.
Ni kama ilivyo tu kwa Namungo na Coastal Union wanavyotumiwa na simba.Nyie ni wajinga mnatumika na Yanga
Mtatumika sana kuibeba Utopolo. PambafView attachment 2263057
Watu wa Soka,
Naitwa Hussein Massanza. Ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano; Pia Afisa Habari na Msemaji wa Singida Big Stars FC (zamani DTB FC).
Timu yetu imefanikiwa kupanda daraja na kufuzu kucheza Ligi Kuu kuanzia msimu ujao wa 2022/2023, hivyo nitumie fursa hii kuwashukuru mashabiki wetu wote kwa sapoti mliyotupatia tangu tukiwa tunaitwa DTB FC. Nawashukuru pia wanahabari na wadau wengine . Tuendako ni kuzuri zaidi, tunaomba muendelee kutusapoti kwa nguvu zaidi.
Kupitia uzi huu maalum; nitapokea maoni, ushauri na mapendekezo yatakayonisadia mimi binafsi katika kutekeleza majukumu yangu, lakini pia yatakayoisadia timu yetu kufanya vizuri, ikizingatiwa sisi ni wageni Ligi Kuu na malengo yetu ni kufanya vizuri kama tulivyokimbiza kule Daraja la Kwanza (Championship).
Simu/WhatsApp: +255 713 475715
Karibuni sana.
Mtatumika sana kuibeba Utopolo. Pambaf
View attachment 2263057