Singida Big Stars tumefuzu Ligi Kuu Tanzania Bara, tupeni ushauri

Haya bwana leo sii umesikia huko mjadala wa makocha wazawa bungeni ...wapo kumi na tisa ambao wana leseni A ya caf. Sasa wapeni fursa hao makocha.
 
Nyie ni wajinga mnatumika na Yanga
 
Mtatumika sana kuibeba Utopolo. Pambaf
 
Simba mnachuki sana na Yanga sijui hizo chuki zinatoka wapi
 
Simba acheni matusi kwa wababe wenu mbona mnakua hivo
 
Jitengeni na Utopolo,kama mnabisha waulizeni Toto Afrika mpaka leo wanasotea kurudi ligi kuu
 
Hamtakaa muda kwenye hii ligi kwa kuendekeza undugu na kujuana waulizeni wenzenu Toto Africans walipoishia

Nyinyi ni timu ya ovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…