BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Ndio mkuu mechi iko fixedAisee natazama hii mechi ya Singida BS vs Yanga nashangaa kweli
Singida hawataki kushambulia Yanga halafu wanaruhusu mashambulizi mengi kiasi kuwa dakika ya 20 pekee wamesharuhusu magoli 2 uwanja wao wa nyumbani
Yaani Singida ambayo ni timu ya 3 kwa ubora ligi kuu, ikiwa imezizidi kwa ubora Azam na Geita Gold, ambazo Yanga inazifunga kwa tabu , leo inafungwa goli mbili ndani ya dakika 20 na 5 shots on target??
Hii Singida ndio ile tuijuayo?
Zingine zilipigwa 8 [emoji28]Kuna timu Simba alizipiga saba, zingine tano..
hizo game zilikuwa fixed????
Aisee natazama hii mechi ya Singida BS vs Yanga nashangaa kweli
Singida hawataki kushambulia Yanga halafu wanaruhusu mashambulizi mengi kiasi kuwa dakika ya 20 pekee wamesharuhusu magoli 2 uwanja wao wa nyumbani
Yaani Singida ambayo ni timu ya 3 kwa ubora ligi kuu, ikiwa imezizidi kwa ubora Azam na Geita Gold, ambazo Yanga inazifunga kwa tabu , leo inafungwa goli mbili ndani ya dakika 20 na 5 shots on target??
Hii Singida ndio ile tuijuayo?
Kwani yanga na Singida wamecheza mechi ngapi? Leo ndio mechi ya pili hizi timu zinakutana, Yanga amemzidi Singida BS point 20, iyo inatosha kabisa kuona Singida ni wadogo sana Kwa Yanga na wanaweza kufungwa idadi yoyote ya magoliYanga timu nyingine anazifunga kwa tabu sana, mfano Geita Gold na Azam ambazo Singida amezizidi kwa uwezo, lakini hawafungwi kizembe na Yanga kama Singida
Goli la kwanza ni la mchongoAisee natazama hii mechi ya Singida BS vs Yanga nashangaa kweli
Singida hawataki kushambulia Yanga halafu wanaruhusu mashambulizi mengi kiasi kuwa dakika ya 20 pekee wamesharuhusu magoli 2 uwanja wao wa nyumbani
Yaani Singida ambayo ni timu ya 3 kwa ubora ligi kuu, ikiwa imezizidi kwa ubora Azam na Geita Gold, ambazo Yanga inazifunga kwa tabu, leo inafungwa goli mbili ndani ya dakika 20 na 5 shots on target?
Hii Singida ndio ile tuijuayo?
Kwa hiyo tukusaidieje?Aisee natazama hii mechi ya Singida BS vs Yanga nashangaa kweli
Singida hawataki kushambulia Yanga halafu wanaruhusu mashambulizi mengi kiasi kuwa dakika ya 20 pekee wamesharuhusu magoli 2 uwanja wao wa nyumbani
Yaani Singida ambayo ni timu ya 3 kwa ubora ligi kuu, ikiwa imezizidi kwa ubora Azam na Geita Gold, ambazo Yanga inazifunga kwa tabu, leo inafungwa goli mbili ndani ya dakika 20 na 5 shots on target?
Hii Singida ndio ile tuijuayo?
Ingia wewe uwashambulie yanga mbona rahisi tu.Aisee natazama hii mechi ya Singida BS vs Yanga nashangaa kweli
Singida hawataki kushambulia Yanga halafu wanaruhusu mashambulizi mengi kiasi kuwa dakika ya 20 pekee wamesharuhusu magoli 2 uwanja wao wa nyumbani
Yaani Singida ambayo ni timu ya 3 kwa ubora ligi kuu, ikiwa imezizidi kwa ubora Azam na Geita Gold, ambazo Yanga inazifunga kwa tabu, leo inafungwa goli mbili ndani ya dakika 20 na 5 shots on target?
Hii Singida ndio ile tuijuayo?
Mjilete tu fainali muone kazi kamili,MTAJUTA NAWAAMBIANdo yenyewe,na nusu fainali kombe la FA watacheza hivi hivi
Hawa ndugu zetu maskini hadi kwenye rohoKwahiyo simba alipomfunga yanga bao 2 dk30 ilikuwa fixed na yenyewe
Akikujibu nishitue mkuuKwahiyo simba alipomfunga yanga bao 2 dk30 ilikuwa fixed na yenyewe
Nikiingia kwenye hili jukwaa huwa naona kiasi cha ujinga tulichokuwa nacho sie kama raiya wa TzZero shot on target kwa Wydad ilikua fixed?