Singida BS vs Yanga, hii mechi ipo fixed?

Aisee natazama hii mechi ya Singida BS vs Yanga nashangaa kweli
Singida hawataki kushambulia Yanga halafu wanaruhusu mashambulizi mengi kiasi kuwa dakika ya 20 pekee wamesharuhusu magoli 2 uwanja wao wa nyumbani

Yaani Singida ambayo ni timu ya 3 kwa ubora ligi kuu, ikiwa imezizidi kwa ubora Azam na Geita Gold, ambazo Yanga inazifunga kwa tabu , leo inafungwa goli mbili ndani ya dakika 20 na 5 shots on target??

Hii Singida ndio ile tuijuayo?
Ndio mkuu mechi iko fixed
 
Mapenzi yako kwa Wapambani Simba ndo shida, si mshapata kombe la Mbinde
 
Yanga timu nyingine anazifunga kwa tabu sana, mfano Geita Gold na Azam ambazo Singida amezizidi kwa uwezo, lakini hawafungwi kizembe na Yanga kama Singida
Kwani yanga na Singida wamecheza mechi ngapi? Leo ndio mechi ya pili hizi timu zinakutana, Yanga amemzidi Singida BS point 20, iyo inatosha kabisa kuona Singida ni wadogo sana Kwa Yanga na wanaweza kufungwa idadi yoyote ya magoli
 
Aisee natazama hii mechi ya Singida BS vs Yanga nashangaa kweli

Singida hawataki kushambulia Yanga halafu wanaruhusu mashambulizi mengi kiasi kuwa dakika ya 20 pekee wamesharuhusu magoli 2 uwanja wao wa nyumbani

Yaani Singida ambayo ni timu ya 3 kwa ubora ligi kuu, ikiwa imezizidi kwa ubora Azam na Geita Gold, ambazo Yanga inazifunga kwa tabu, leo inafungwa goli mbili ndani ya dakika 20 na 5 shots on target?

Hii Singida ndio ile tuijuayo?
Goli la kwanza ni la mchongo
 
NAKAZIA.....

Mfano goli la kwanza alilofunga Aziz Ki kipa B. Haule kaufwata mpira ushahidi tu lakini hakuna kitu pale... ni fix tu
 
Aisee natazama hii mechi ya Singida BS vs Yanga nashangaa kweli

Singida hawataki kushambulia Yanga halafu wanaruhusu mashambulizi mengi kiasi kuwa dakika ya 20 pekee wamesharuhusu magoli 2 uwanja wao wa nyumbani

Yaani Singida ambayo ni timu ya 3 kwa ubora ligi kuu, ikiwa imezizidi kwa ubora Azam na Geita Gold, ambazo Yanga inazifunga kwa tabu, leo inafungwa goli mbili ndani ya dakika 20 na 5 shots on target?

Hii Singida ndio ile tuijuayo?
Kwa hiyo tukusaidieje?
 
Ingia wewe uwashambulie yanga mbona rahisi tu.
 
Mwigulu aliwaambia Singida wamuachie Mayele afunge hat trick, nashangaa Singida wakasahau..

Suala la hii game ya timu za Mwigulu kuwa fixed kwangu halina shaka yoyote
 
Nliacha kufatilia hayo maigizo nikaeka zangu ubongo kids,niburudike na mtoto wangu,picha linaanza kocha wa singida anasema leo hatutaki kufungwa mengi.[emoji2]
 
Kila mtu ashinde mechi zake. Nani aliwaambia mtoe sare jana? Lawama za nini? Mlitaka singida aizuie yanga? Game ya yanga inawahusu nini?
 
Hii mechi ilikuwa fixed wewe ulikuwa ustake high tu
 
Kwaio nyie zuwena fc jana mlishona sare mkitegemea singida big stars awapambanie??
Nyie mkimfunga ruvu 7 sie tunapata moja kwa mbinde geita mliwapiga 5 tena kwao nyankumbu wakat yanga haijawah kuwa na mechi nyepes na geita.
Nihitimishe kwa kusema kila mtu ashinde mechi zake.
Sema nn mnalalamika kiume pia[emoji1787]
 
Back
Top Bottom