BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Ndio mkuu mechi iko fixedAisee natazama hii mechi ya Singida BS vs Yanga nashangaa kweli
Singida hawataki kushambulia Yanga halafu wanaruhusu mashambulizi mengi kiasi kuwa dakika ya 20 pekee wamesharuhusu magoli 2 uwanja wao wa nyumbani
Yaani Singida ambayo ni timu ya 3 kwa ubora ligi kuu, ikiwa imezizidi kwa ubora Azam na Geita Gold, ambazo Yanga inazifunga kwa tabu , leo inafungwa goli mbili ndani ya dakika 20 na 5 shots on target??
Hii Singida ndio ile tuijuayo?