Singida BS vs Yanga, hii mechi ipo fixed?

Newcastle united vs Tottenham Hotspur
Ndani ya Dakika 20 kapigwa goli 4.

Hii inafanyika duniani achana na Tanzania peke yake.

Argentina vs France Dakika 23 mpaka dakika 79 Argentina anaongoza goal 2 kwa sifuri,ila dakika ya 8 mpaka 81 ubao unasema Argentina 2 France 2.

Wewe unaongea nini,hebu jaribu kuficha ujinga wako.

Sent from my V2204 using JamiiForums mobile app
 
Hata mechi ya jana ilikuwa fixed haiwezekani kipa Ally Salim kufungwa magoli ya aina ile ile
 
Yaani mechi zenu mtoe draw alafu mumpe mzigo singida wa kumfunga Yanga ili mfufue matumaini ya ubingwa wa ligi
 
Simba walipigwa ngapi
Simba aliifunga yanga goli mbili kwa mechi ya mzunguko wa pili magoli yakifungwa na kibu na Enonga lakini bodi ya ligi wamekataa kuipandisha Simba iongoze ligi ni fitna tu
 
YANGA ANATUMIA NGUVU KUBWA KUSHINDA LIGI KUU ILA ANACHEZA SHIRIKISHO[emoji3059]
 
Yanga timu nyingine anazifunga kwa tabu sana, mfano Geita Gold na Azam ambazo Singida amezizidi kwa uwezo, lakini hawafungwi kizembe na Yanga kama Singida
Mbona hapakuwa na goli la kizembe pale
Umeshaona magoli yanayofungwa ligi kuu au mpira wa tz kwa ujumla ni ya hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…