Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Ile ya Jana dhidi ya Namungo uliimalizia mkuu?Nimeacha kuangalia hiyo game muda tu hakuna mchezo hapo upuuzi mtupu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ya Jana dhidi ya Namungo uliimalizia mkuu?Nimeacha kuangalia hiyo game muda tu hakuna mchezo hapo upuuzi mtupu..
Newcastle united vs Tottenham HotspurAisee natazama hii mechi ya Singida BS vs Yanga nashangaa kweli
Singida hawataki kushambulia Yanga halafu wanaruhusu mashambulizi mengi kiasi kuwa dakika ya 20 pekee wamesharuhusu magoli 2 uwanja wao wa nyumbani
Yaani Singida ambayo ni timu ya 3 kwa ubora ligi kuu, ikiwa imezizidi kwa ubora Azam na Geita Gold, ambazo Yanga inazifunga kwa tabu, leo inafungwa goli mbili ndani ya dakika 20 na 5 shots on target?
Hii Singida ndio ile tuijuayo?
Niko paleeeee akija na jibu la kueleweka niiteKuna timu Simba alizipiga saba, zingine tano..
hizo game zilikuwa fixed????
Mwaka jana tuliwakanda nusu fainali. Mnataka tena na mwaka huu?Mjilete tu fainali muone kazi kamili,MTAJUTA NAWAAMBIA
Ile nilimaliza Chief hahahh!!Ile ya Jana dhidi ya Namungo uliimalizia mkuu?
Hata mechi ya jana ilikuwa fixed haiwezekani kipa Ally Salim kufungwa magoli ya aina ile ileAisee natazama hii mechi ya Singida BS vs Yanga nashangaa kweli
Singida hawataki kushambulia Yanga halafu wanaruhusu mashambulizi mengi kiasi kuwa dakika ya 20 pekee wamesharuhusu magoli 2 uwanja wao wa nyumbani
Yaani Singida ambayo ni timu ya 3 kwa ubora ligi kuu, ikiwa imezizidi kwa ubora Azam na Geita Gold, ambazo Yanga inazifunga kwa tabu, leo inafungwa goli mbili ndani ya dakika 20 na 5 shots on target?
Hii Singida ndio ile tuijuayo?
Umbumbumbu ni mzigo mzito sana kiongozi wangu [emoji120]Yaani mechi zenu mtoe draw alafu mumpe mzigo singida wa kumfunga Yanga ili mfufue matumaini ya ubingwa wa ligi
Simba walipigwa ngapiUkikutana na Yanga ya Sasa lazima ionekane hujui usiwalaumu Singida hadi Yanga anaongoza lig hajaifunga Singida peke yake
Simba aliifunga yanga goli mbili kwa mechi ya mzunguko wa pili magoli yakifungwa na kibu na Enonga lakini bodi ya ligi wamekataa kuipandisha Simba iongoze ligi ni fitna tuSimba walipigwa ngapi
YANGA ANATUMIA NGUVU KUBWA KUSHINDA LIGI KUU ILA ANACHEZA SHIRIKISHO[emoji3059]Aisee natazama hii mechi ya Singida BS vs Yanga nashangaa kweli
Singida hawataki kushambulia Yanga halafu wanaruhusu mashambulizi mengi kiasi kuwa dakika ya 20 pekee wamesharuhusu magoli 2 uwanja wao wa nyumbani
Yaani Singida ambayo ni timu ya 3 kwa ubora ligi kuu, ikiwa imezizidi kwa ubora Azam na Geita Gold, ambazo Yanga inazifunga kwa tabu, leo inafungwa goli mbili ndani ya dakika 20 na 5 shots on target?
Hii Singida ndio ile tuijuayo?
Si tumetoka kuwakanda juzi tu,hilo umesahau???Mwaka jana tuliwakanda nusu fainali na mwaka huu mnataka tena
Mwaka jana tuliwakanda nusu fainali. Mnataka tena na mwaka huu?
Tulitoa concentration kwenye ligi kitambo kwa sasa tunataka FA na msijiloge mkajiletaSi tumetoka kuwakanda juzi tu,hilo umesahau???
Mbona hapakuwa na goli la kizembe paleYanga timu nyingine anazifunga kwa tabu sana, mfano Geita Gold na Azam ambazo Singida amezizidi kwa uwezo, lakini hawafungwi kizembe na Yanga kama Singida
Mngeingiza kikosi b,kama ndo hvyo.Tulitoa concentration kwenye ligi kitambo kwa sasa tunataka FA na msijiloge mkajileta