Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Refa ndo alikua man of the match [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Singida wamefikia huku, basi bado sana kwenye ushindani. Simba wamenyimwa penalties mbili za wazi, mbona hilo hawalizungumziii? Offside ile ilihitaji marudio kwenye VAR, kwa haraka haraka ilionekana kama Offside.Refa ndo alikua man of the match [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]View attachment 2776770
Ile goli la Singida hata haihitaji VAR, wakulaumiwa sio refa, ni mshika kibendera, sijui kwa nini alifanya vileKama Singida wamefikia huku, basi bado sana kwenye ushindani. Simba wamenyimwa penalties mbili za wazi, mbona hilo hawalizungumziii? Offside ile ilihitaji marudio kwenye VAR, kwa haraka haraka ilionekana kama Offside.
Refa yule ni binadamu kama wewe ambaye hadi kugundua kuwa ni Offside umepataa msaada wa marejeo ya TV.
Niliona wachambuzi wa mpira Azam, wakirejea mara kadhaa 7X kujiridhisha, haikuwa rahisi kwa refa kuamua goli bila kupata msaada wa lines Man.
Uko sahihi, lines Man ndio wa kulaumiwa. wao wanakuja na habari za refa, ni ajabu sana.Ile goli la singida hata haihitaji VAR, wakulaumiwa sio refa, ni mshika kibendera, sijui kwa nini alifanya vile
Goli la Simba lilihitaji VAR lakini goli la Singida ni uzezeta wa mshika kibendera.Kama Singida wamefikia huku, basi bado sana kwenye ushindani. Simba wamenyimwa penalties mbili za wazi, mbona hilo hawalizungumziii? Offside ile ilihitaji marudio kwenye VAR, kwa haraka haraka ilionekana kama Offside.
Refa yule ni binadamu kama wewe ambaye hadi kugundua kuwa ni Offside umepataa msaada wa marejeo ya TV.
Niliona wachambuzi wa mpira Azam, wakirejea mara kadhaa 7X kujiridhisha, haikuwa rahisi kwa refa kuamua goli bila kupata msaada wa lines Man.
Endelea kuuza magari
Duh kuna timu ina wachezaji watatu kwenye list.
Naunga mkono hoja 👍👏Refa ndo alikua man of the match [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]View attachment 2776770
Naunga mkono hoja 👍👏Chakushangaza mada kama hizi kuna shabiki andazi linakuja kutukana badala ajikite kwenye uhalisia au kama unashindwa kaa kimya. Kuliko kuja na commrent za ajabu kama vile kilichotokea ni sawa kwakua imekua favor kwa timu yako. Idiots
Hii hoja yako ni ya kitoto mpaka basi.Acheni kumlaumu refarii... Kwa nini hamkufunga magoli ya katikati ya uwanjan muone refa km atakataa